John john mnyika ndani ya viwanja vya tanesco kimara kuanzia saa 4'asubuhi

FredKavishe

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,090
318
Kesho mh john mnyika atafanya mkutano wa hadhara viwanja vya tanesco kesho nasema tena tena mpaka kieleweke tukutane kesho wale wote nyumba zitakazovyunjwa bila malipo'matatizo ya maji'na mengneyo
 
mnyika ndiye mbunge bora mpaka sasa si kwa ccm au cdm. ni mbunge aliye karibu sana na wananchi wake na amefanya mikutano mingi sana na wananchi wa ubungo. big up brother and keep it up. tupo pamoja kuhakiksha unafanikisha dhamira yako ya kywasaidia wananchi wa ubungo na watanzania kwa ujumla
 
Back
Top Bottom