Access to Canada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Access to Canada

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Kingdom_man, Mar 2, 2011.

 1. Kingdom_man

  Kingdom_man JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2011
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 457
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 80
  Habarini wanajamvi.... Nasikia kwa sasa Canada ndio nchi pekee inayolipa kuishi na kujiendeleza kijasiriamali.... Kwa sababu Canada its the 2nd largest country in the world with less population which leads to many opportunities of work na vibarua.....
  Sasa naombeni tusaidiane kwa more information kuhusu upatikanaji wake wa uraia, access to the country, kazi zipi zipo around kwa wajasiriamali, mji gani ni cheap kwa kuishi na kujiendeleza, living cost and other expenses. Tukipata mtu aliyeoko Canada ni vizuri zaidi atujuze wanajamvi tujue tukimbilie wapi mana Bongo mambo vagaranti.............
   
 2. kasopa

  kasopa JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wewe ni mtanzania? na unaishi wapi mkuu nakuonea huruma sana una mawazo ya kizamani sana JF hii inafanyakazi yakuelimisha watu lakini naona bado watu hawajaitumia au hajui malengo ya wana JF sisi tuliyopo nje tunatamani kurudi wewe ndo kwanza unataka kutafuta maisha ya kutumwa nenda kijijini mwaka utaona matunda ya tanzania baada ya miaka miwilitu utarudi mjini kuuza nyago tafuta ushauri lakini kama unataka kwenda kanada nenda utaikumbuka bongo kwa muda mfupi sana na hutoweza kurudi na ukirudi itakuwa umesha poteza sana muda ushauri wangu tafuta chakufanya huko kama unaelim tumia elim uliyo nayo fanya kazi yako binafsi uiajiriwe
   
 3. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ni kweli atapoteza muda wake bure man!!!mimi mwenyewe simshauri atoke bongo kama ana elimu yake hapohapo bongo panalipa cha muhimu ni kujiamini na kua na plan inayofaa!
   
 4. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #4
  Mar 2, 2011
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,811
  Likes Received: 1,146
  Trophy Points: 280
  panalipa mbona nyie mmekimbia na hamurudi??acheni wivu wa kibwege nyie mpeni mwenzenu idea nae akajaribu bahati,kwani nyie mliendaje??nyie ndio mnaowachomaga wabongo wenzenu huko ughaibuni warudishwe:usa2:
   
 5. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #5
  Mar 2, 2011
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,725
  Likes Received: 3,143
  Trophy Points: 280
  Kumbe kunakuchoma!! sikujua. kwa kipi hasa umchome mwenzio?? Bongo maisha poa bana wazungu watakubebesha box mpaka ushindwe kupumua shauri lako
   
 6. Nemo

  Nemo JF-Expert Member

  #6
  Mar 2, 2011
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 661
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 80
  You can apply to immigrate to Canada under any of the following Three classes, provided you qualify. However Option 2, and 3 favuor pple who are already in the country working, and or students with Canadian Education (graduated within the country)

  1.Skilled workers and professionals
  Skilled workers are selected as permanent residents based on their education, work experience, knowledge of English and/or French, and other criteria that have been shown to help them become economically established in Canada.
  Immigrating to Canada: Skilled workers and professionals
  2.Canadian Experience Class
  This is fora temporary foreign worker (already in canada)or a foreign student who graduated in Canada.
  Canadian Experience Class
  3.Provincial nominees
  Most provinces in Canada have an agreement with the Government of Canada that allows them to nominate immigrants who wish to settle in that province. If you choose to immigrate to Canada as a provincial nominee, you must first apply to the province where you wish to settle and complete its provincial nomination process.
  Provincial nominees - Who can apply

  For the Skilled Worke, you will require a min of 67 points to qualify. The link
  below is a self assessment tool that can be used to determin this
  Skilled Worker Online Self-Assessment - Education


  Hope this is helpful and Good luck!
   
 7. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #7
  Mar 2, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Interesting
   
 8. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #8
  Mar 2, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  babu umeniwahi! Yaani watz bwana.
  Badala hata wamwambie faida na hasara zake wanajifanya kuponda na wakati wenyewe wameng'ang'ana huko huko.
  Sio mpango huo.
   
 9. Kingdom_man

  Kingdom_man JF-Expert Member

  #9
  Mar 3, 2011
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 457
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 80
  Nemo Asante sana, umeokoa jahazi angalau nina pakuanzia sasa.......... nimecheki links hata mimi nimeona Skilled Worker ndio imetulia zaidi......
  points zimeniruhusu kuapply...........ngoja niendelee kuchambua hizi habari nikikwama nitakuPM......Ubarikiwe sana
   
 10. Kingdom_man

  Kingdom_man JF-Expert Member

  #10
  Mar 3, 2011
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 457
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 80
  Asanteni wadau bora muongee ninyi, mtu naomba muongozo nijikwamue, afu akina KASOPA wanakurupuka na kuongea mzaha:blah:
   
 11. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #11
  Mar 3, 2011
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,725
  Likes Received: 3,143
  Trophy Points: 280
  Soma Citizenship and Immigration Canada 2011 updates. Kuna changes kubwa hata hao ni vigumu kukubaliwa.
   
 12. m_kishuri

  m_kishuri JF-Expert Member

  #12
  Mar 3, 2011
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 1,489
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mkuu Robinhood, usikatishwe tamaa na yoyote yule, kama umeamua kuitafuta Canada basi funga buti, ila tu inatakiwa uwe na moyo wa hali juu. Kwanza VISA ya Canada inatoka kwa mbinde haswa, kwa hiyo inabidi ujikamilishe (documents) kabla ya kuanza hilo sakata. Pili, endapo utafanyikiwa, basi uende huko na uvumilivu wa hali juu, kwani inachukuwa muda mrefu sana kuingia kwenye SYSTEM (Intergration). Watu wengi wametoka walikotoka na PROFESSION zao laini wanapofika Canada wanaishia kuwa madreva TAXI au wabeba box. Tatu, hakuna mambo ya tiki-taka huko, kilo kitu ni kwenye mstari; ulipaji kodi, kufuata sheria za nchi, na kazi. Na mwisho kabisa, Hali ya hewa ni noma; wakati wa winter hali ya hewa huwa inateremka mpaka -35 degree (below zero), huo mziki usikie hivyo hivyo.
  Vinginevyo, good luck.

  [​IMG]

   
 13. m

  maselef JF-Expert Member

  #13
  Mar 3, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kitu kingine muhimu "watakupima UKIMWI" na vipimo vingine vyote kama vile kifua, figo, BP, macho nk. They dont want watu wagonjwa wagonjwa. Hali ya hewa inategemea na jimbo ulilopo. Nipo Edmonton kwa ajili ya masomo temperature ya leo ni -38C. Kuhusu kupata kazi hapa ni rahisi kidogo kwani hapa watanzania ni wengi na wanaushirikiano kama wapo Bongo. Waziri Chami alikuwa hapa kabla ya kuingia kwenye siasa
   
 14. G

  Gathii Senior Member

  #14
  Mar 3, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nimeukubali sana ushauri wako,umekuwa so straight and unbiased..

  Ni kweli ulaya na marekani kwa sasa ni kugumu lakini mtu anapoamua ushauri siyo kumwambia usiende,ila kama ulivyofanya mpe black and white na yeye ataamua mwenyewe,who knows mother luck might shine over him na akatoka..lakini ukweli utabaki palepale abroad kumebadilika sana sasa tofauti kabisa na hapo nyuma and in fact dunia imebadilika,kiuchumi,kisiasa na kiutamaduni,watu wamebadilika.
   
 15. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #15
  Mar 3, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  awe free tu kwenda huo ulikua ni ushauri tu ndio maana nikasema kama anajisikia sio mbaya ila nisingemshauri kwenda so hata wewe ulifikiri kwamba kama kaomba ushauri ategemee atapata majibu chanya tu mie naona kama ***** wewe unaetoa lugha chafu kwenye public kama hii mshauri tu aende kwa moyo mweupe na sio kutoa majibu machafu!
   
 16. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #16
  Mar 3, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  kwa usengge huu wa tanzania mkuu ukipata chanel nistue nikujoin...
   
 17. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #17
  Mar 3, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,850
  Likes Received: 2,776
  Trophy Points: 280
  Watu wengine bwana!! Kuna jamaa wameshuka hapo eti wanamwambia aitamani kwenda huko kwa vile wao tu wamekwama na wanatamani kurudi Bongo! Mbona sasa hawarudi? Nani kawazuia kurudi hao? Huu ni wivu tu! Kama kuna mabaya si mngemwambia mwenzenu kuliko kuanza kumkatisha tamaa!!

  Jamaa yangu wewe jimwage huko kama mambo yataenda vizuri. Ingawa hata hapa kwetu kunalipa tu mradi utumie elimu yako vizuri! Tatizo ni hawa mafisadi, tu vinginevyo maisha yangekuwa poa sana. Hebutafakari kuhusu elimu yako na uangalie kwa kutumia elimu yako hiyo ni nini unaweza kufanya hapa hapa Bongo? Kuwa Mjasiriamali wa kwetu Ulaya au Amerika utaenda kutembea baada ya kufanikiwa hapa Bongo!!
   
 18. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #18
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Bwana wee, njoo Italy..Canada mbali kote hata kuja bongo ni kazi sana!..Shtua me tuanze mipango ya pepaz:))))
   
 19. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #19
  Mar 3, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Safi sana...wacha bongo wabaki mananga tu...
   
 20. kasopa

  kasopa JF-Expert Member

  #20
  Mar 3, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mkuu samahani kama nimekkwaza lakini hayo ni maoni yangu tu sio lazima ufate mkuu. zijafanya mzaha ndomaana nikasema jaribu kufanya stadi kabla huja fikia hatua hiyo kwakuwa home kunalipa sana kuliko huko wannvyozani wengi. hususani kwa mwenye elim nibora sana TZ kuliko ughaibuni. TZ ni kujua shaneli zilivyo mkuu watu wengi huishia kufanyia kazi tumbo tu nasio maendeleo kwakuwa mfumo wa nchizao. TZ kuna bado kuna nafasi kubwa ya kujikwamua kimaendeleo kinashotakiwa nikubuni na kuvumbua nini chakufanya. ili upate kipato kizuri tanzania bado kuanafasi yakufanya biasha changa naikawa kubwa kwa kipindi kisicho zidi miezi 24 nakufanikiwa kimaendeleo jaribu kufkiri sana kuhusu swala hili usichukuwe ushauri wa harakaharaka tumia elimyako mkuu vijana wengi hawasemi ukweli lakini ukifika huko ndo utaujua ukweli. na wengi wanashindwa kurudi kwakuona ni fedhea kurudi akiwa hana kitu na anajipa moyo kuwa iposiku atadaka ndo usemiwao. lakini hawayaoni maendeleo ya TZ kwamakusudi yao wengiwao wanapiga deywaka. mimi nipo nje lakini mkuu nimeshtuka na nimeisha anza kujiwekeza hom japokuwa ni kujiminya sana ili uweze kushindana na kasi ya maendeleo ya kilaziku. tanzania enaenda kasisana kimaendeleo lakini watu waliopo ndani ya nchi ni wachache sana wanaoliona hilo wamegubikwa na wimbi la wanasiasa na propaganda zao matokeo wanajisahau hawatafuti njia za kujikwamua kimaisha. jaribusana kufanya uchunguzi wakina. wacanada wenyewe wanakwenda ishi nchi za Tailandi na kutafuta urahisi wa maisha. wakati wao ni raiya. mkuu mimi na shukuru sana JF ndio iloniokoa na najivunia kwani maendeleo yangu yametokana na wana JF waliomo humu wengiwao bila kujua na wengine wanajua nawshkuru sana nimepiga hatua kubwa kupitia JAMIIFORUMS wakati nilsha katatamaa nashanga kuona mtu kupitia JF kuwa na wazo la kwenda ughaibuni. mimi nimeweza kumiliki raslimali zenyesamani nakujipatia maendeleo kwa kiasikidogo cha patolangu. narudia tena Thenxx wana JF
   
Loading...