Biashara ya mikate | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya mikate

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Bhokem, Mar 3, 2011.

 1. Bhokem

  Bhokem Member

  #1
  Mar 3, 2011
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naombeni ushauri.

  Nina mtaji wa Tshs 3 million, nahitaji kuwekeza kwenye biashara ya mikate a.k.a bakery, je inatosha?
   
 2. mwanatanu

  mwanatanu JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2011
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Kwanza inategemea unataka kutumia tanuri gani
  Pili ni sehemu gani ya Tanzania unataka kufanya biashara hiyo.
   
 3. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  kwa mtaji huo,fanya distribution ya mikate,tafuta supply points,mashule and ofisi.
  then nunua na kufanya delivery.
   
 4. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  kwa mtaji huo ukisema upangishe eneo la bekari, ununue tanuru sidhani kama itatosha bora ufanye supply kidogo kidogo mtaji ukikua unaweza kufanya utakalo
   
Loading...