Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Toka alipochaguliwa kuwa waziri wa usafirishaji,Mheshimiwa Nundu ameonesha ishara kuwa yeye ni muumini wa ubepari na kwamba private sector peke yake ndio itaikomboa Airline industry ya Tanzania...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna yeyote anaweza nipatia sample ya business plan ya jinsi ya kuanzisha VIDEO PRODUCTION COMPANY? Naomba msaada wenu tafadhali. Email: richie_massive@yahoo.com
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Bunge la Tanzania linafanya kazi kama wacheza NGOJERA. Katika ngonjera, washiriki huanza kama kubishana lakini, mwishoni lazima wakubaliane. Hakuna ngonjera inayoishia kwa kutokubaliana. Hivyo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau, sukari imeanza kuadimika na bei imefika shs 2,000/- per kg. Hali hii inasababishwa na nini? Serikali naona imeamua kuuchuna baada ya awali kuwapiga mkwara wazalishaji na Wafanyabiashara...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana JF, nimekuwa nikifwatilia kwa karibu hii biashara ya VODACOM ya kutuma hela kwa njia ya MPESA, kitu ambacho nimeshindwa kuelewa au kujua kama kipo ni swala zima la ukusanyaji wa kodi ya...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Why this article caught my attention is the fortune that the founders of the company have come by. The business was supposedly started in 1996 from a mere £2000 loan (5M TSh) and the selling price...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
guys niaje ! nimepokea mail inantaka nimtengenezee mtu slogan itayotumika sherehe za TRA siku ya kodi tarehe 21/10/2011.nilitunga hizi wamezikataa na kunipa deadline kesho jion. 1) KODI NI...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Sex desire is the most powerful of human desires. When driven by this desire, men develop keenness of imagination, courage, will-power, persistence, and creative ability unknown to them at other...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Doubts hit PR industry after ZK collapse Written by Jeff Mbanga Sunday, 10 April 2011 17:20 When, in August 2010, ZK Advertising Limited won the overall...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
WanaJF, Naomba kufahamu namna gharama/kodi za kuingiza gari Tanzania hususan TRA zinafanyikaje. Nimesikia tu kuwa kuna mabadiliko katika namna ya kukokotoa gharama/kodi kuanzia. Nitashukuru kwa...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
ni bank ipi kati ya CRDB na NMB wanatoa mikopo kwa wafanyakazi kwa riba nafuu. Kwa mwenye uzoefu na maswala haya naomba anifahamishe pia kama kuna sehemu nyingine tofauti ambazo naweza kukopa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Inawezekanaje kosa la serikali yenyewe adhabu apewe mfanyakazi, mwekezaji? Maelfu ya vijana wameanza kupoteza ajira baada ya kukosekana vibali vya kusafirisha mazao yao nje ya nchi, hali hii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Msaada wadau Mwenzenu nimeagiza gari used japan Naomba yeyote muelewa wa hizi kodi mpya anipe ufafanuzi Nimeingia katika website ya tra nimeshindwa kukitumia kile kikokotozi chao please kwa...
0 Reactions
14 Replies
12K Views
nakumbuka zamani nilisoma miezi 6 pig production ila mwalimu hakuwa anaweza kunielekeza vizuri na kiingereza chenyewe cha form one ndo vile matokeo yake leo nakumbuka kidogo sana.ninajipanga...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Aliandaa shamba kwa panga, fyekeo na jembe la mkono, akapanda bila mbolea kwakuwa viongozi wa serikali ya kijiji na mawakala wa pembejeo walichakachua mbolea ya ruzuku. Mvua haikunyesha pamoja...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Gold to boost FDIs to Tanzania, survey establishes By Polycarp Machira The Citizen Reporter Dar es Salaam. Tanzania's gold reserves will continue to be a magnet for investors in the medium term...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Finally a unique part/full time home based opportunity looking for business partners to be part of a world’s first class Global Company in Success Education and positive media with International...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
ninataka kuanza kilimo kwa kutumia Drip irrigation,Kenya wamefanikiwa kwa mfumo huu.Nahitaji msaada wapi naweza pata vifaa vya huu mfumo na jinsi ya kufanya installation ktk bustani ya ekari
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari gan wana JF! Ni shirika gani au kampuni gani inayoweza kunijengea nyumba kwa gharam nafuu? kwani mm nina kiwanja changu maeneo ya Mbezi, kina Title deed, waungwana nadhani mnajua kujenga...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sharing is Caring Wandugu, 1. Naomba uelekezi juu ya kuandaa minutes za Uamuzi wa Ma-directors juu ya kufungua Bank Account. Alie na templete anaweza kunisaidia ili nijue standard...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…