Gharama mpya za kuingiza gari Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gharama mpya za kuingiza gari Tanzania

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Speedo, Aug 24, 2011.

 1. S

  Speedo Member

  #1
  Aug 24, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 13
  WanaJF,
  Naomba kufahamu namna gharama/kodi za kuingiza gari Tanzania hususan TRA zinafanyikaje.
  Nimesikia tu kuwa kuna mabadiliko katika namna ya kukokotoa gharama/kodi kuanzia.
  Nitashukuru kwa ufafanuzi.
  Asante
   
 2. The only

  The only JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 1,423
  Likes Received: 942
  Trophy Points: 280
  HI spedo mfumo ni huu mimi ni agent hivo unajibiwa na mtu sahihi haya jinome .

  mfumo mpya umekuja kureplace uliopita ambapo bei ya gari ilikuwa maafisa wana search kwa vyanzo ndo inakuwa tax base (cif) lakini kwa sasa TRA imefanya utafiti wa bei zote za magali ya kiwa mapya na kuweka costant deduction formula inayozingatia umri wa gari.

  kujua jinsi ya kuipata tembelea hapa Tanzania Revenue Authority - Valuation of Used Motorvehicles

  kuona bei zote ingia website ya Tra
   
 3. MOKILI MOBIMBA

  MOKILI MOBIMBA Member

  #3
  Aug 25, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  SAWA MTU SAHIHI NAMBIE GARI HILI PALE KWENYE LIST YA TRA HALIPO NISSAN ELGRAND YA 1998 CC3250 CIF 3925usd Nitalipia kiasi gani mpaka kuliendesha au nambie tu ushuru nitakaopaswa kulipai
   
Loading...