Msaada kwenye tuta!

Bruda 1977

Member
Apr 27, 2010
5
0
Habari gan wana JF!
Ni shirika gani au kampuni gani inayoweza kunijengea nyumba kwa gharam nafuu?
kwani mm nina kiwanja changu maeneo ya Mbezi, kina Title deed, waungwana nadhani mnajua kujenga nyumba bongo si rahisi sana kwa mishahara yetu ya kudunduliza. Nahitaji shirika au kampuni inyoweza kuwa na uaminifu na uwezo wa kunijengea njumba kwa gharama nafuu, ulipaji uwe zaidi ya miaka kumi toka kwenye mshahara wangu tafadhari.
 
Ushauri:
- onana na wadau na wataalam wa rear estates wakusaidie kuuza hicho kiwanja kwa bei nzuri.
- baada ya kuuza , onana na wataalam wa uchumi na mambo ya biashara ili wakupe business ideas na plans suitable for u then uanzishe biashara endelevu then baada ya muda mfupi ujenge nyumba unayoitaka.... ondokana na utumwa wa kazi za kuajiriwa mkuu, kwa kidogo ulichonacho unaweza kujipanga na kuendelea kimafanikio zaidi... ukipata muda soma kitabu kinaitwa ''poor dad, rich dad''.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom