Serikali ikioza na wawekezaji pia

SilvaG

Member
Jul 23, 2011
9
0
Inawezekanaje kosa la serikali yenyewe adhabu apewe mfanyakazi, mwekezaji?
Maelfu ya vijana wameanza kupoteza ajira baada ya kukosekana vibali vya kusafirisha mazao yao nje ya nchi, hali hii inazikumba hata kampuni ambazo hazisafirishi wanyama ila zinahitaji vibali vya CITES ambavyo mhusika ni aliyesimamishwa Mr. Mbangwa. Hali hii inasikitisha zaidi kwa kampuni za maua ambazo huagiza maua hadimu nje ya nchi kuyakuzia hapa na kuyapeleka nje. Conclusion, uzembe wa serikali yenyewe unasababisha madhara kwa wawekezaji, ajira na uchumi wake yenyewe!
 
Back
Top Bottom