Ushuru mpya wa kuingiza magari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushuru mpya wa kuingiza magari

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by MOKILI MOBIMBA, Aug 22, 2011.

 1. MOKILI MOBIMBA

  MOKILI MOBIMBA Member

  #1
  Aug 22, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Msaada wadau Mwenzenu nimeagiza gari used japan Naomba yeyote muelewa wa hizi kodi mpya anipe ufafanuzi Nimeingia katika website ya tra nimeshindwa kukitumia kile kikokotozi chao please kwa anaefahamu mfumo wa kodi hizo mpya anisaidie ili nijipange kuhusu fedha za kulikomboa. Aina ya gari ni NISSAN ELGRAND ya MWAKA 1998 cc3150 cif3925usd fob 1760usd nawakilisha
   
 2. M

  Memory Senior Member

  #2
  Aug 22, 2011
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 108
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Tatizo kubwa la TRA ni kwamba kuna magari mengi tu ambayo hayakujumuishwa katika CRSP list waliyotoa na hivyo ni ngumu kukupatia estimated cost za hii gari mpaka wao TRA wakutafutie custome value kutoka sokoni ili uanze kufanya estimation. Ilikuwa ni rahisi kama hii gari ingelikuwa katika CRSP list maana ungechukua CRSP price ya hii gari then ukaijaza kwenye valuation calculator inayopatikana baada ya kuwa umeifungua katika website ya TRA

  Simply kwa kujaza CRSP price ya gari hiyo kama ingekuwa provided agaist the Current Retaili Selling Price na kisha ukajaza depreciation ambayo kwa gari ya mwaka 1998 ni 75% then Freight (Usafirishaji) bila kusahau kujaza sehemu ya Exchange rate ya siku hiyo (hii ipo juu kabisa). Calculator yao inamalizia kazi zingine. Note: Jedwali la gari yako ni lile la Motor vehicle with more than 2000cc (Aged more than 10 years)
   
 3. M

  Memory Senior Member

  #3
  Aug 22, 2011
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 108
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Jambo lingine mhimu ni kwamba hii formula itatumika pale tu ambapo Custome value yako uliyoileta ni ndogo kuliko inayopatikana katika CRSP list yao, kinyume chake watachukua ya kwako na kuitumia ili kupata kodi kubwa zaidi.
   
 4. samito

  samito JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 621
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kuna jamaa wametafuta kabisa we bi kumeza tu, ingia hapa
   
 5. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Asante sana samito. Nimeingia na nimejionea. Ila sasa kuna gari zingine hazipo kwa database yao. Ni kama Hino rainbow... hapo nifanyeje? nimejaribu tu ya Mitsubishi bus (ambayo ni more expensive kwa kawaida) na estimate imekua tofauti...
  Anyway, asante kwa wailo create hiyo calculator.
  Kitu kingine nimeona ni kwamba ukienda old calculator wanakupa breakdown ya charges zote unatakiwa kulipa ila total inakua inflated. Mfano:
  tax profile: normal
  CIF: 3500
  car year 1999
  CC: 3900
  Total taxes inakua: 3,315
  Then wanaongeza
  port charge: 150
  Shiping line: 75
  Grand total inakua 7040
  Hoe is that possible?
   
 6. samito

  samito JF-Expert Member

  #6
  Aug 22, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 621
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  U ar welcome mkuu,

  kwa gari ambazo hazipo kwenye CRSP ni vigumu kukadiria cha kufanya waone tra tu kabla hujakabidhi clearing n forwarding agent ili wasije wakakuzunguka wakakupiga bei kwa kushirikiana na tra. all ze best
   
 7. Shakazulu

  Shakazulu JF-Expert Member

  #7
  Aug 22, 2011
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 940
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Note that this is not the current system as they have noted on their website.
   
 8. MOKILI MOBIMBA

  MOKILI MOBIMBA Member

  #8
  Aug 22, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waungwana kama kuna mtu humu JF ana jamaa yake pale TRA ani PM nikamuone kwa ufumbuzi wa hili. najua humu kuna kila aina ya watu. Please NI KUHUSU NISSAN ELGRAND
   
 9. c

  changman JF-Expert Member

  #9
  Aug 23, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Waungwana nasikia eti kwa mwananchi wa kawaida akiagiza gari jipya kabisa kutoka nje ya nchi, wakati wa kuliingiza bandarini anapunguziwa kodi ili kuhamasisha watu kuagiza magari mapya, eti kuna hiyo sera hapa nchini?
   
 10. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #10
  Aug 23, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Unajua huu mchanganuo mpya wa TRA bado haujakaa sawa kwasababu ni mpaka wao TRA wakutafutie customer value kutoka sokoni ili uanze kufanya estimation. Zamani ilikuwa raisi lakini ya sasa siajipata vizuri bado ngoja nitadadisi kama bado utakuwa hujapata jibu naweza kusaidia Lakini kwa sasa pia rudia kuangalia vizuri katika website ya TRA tena ukiwa umetuliza akili
   
 11. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #11
  Aug 23, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  hakuna
   
 12. m

  musuoka New Member

  #12
  Aug 23, 2011
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 13. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #13
  Aug 23, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Halafu hawa TRA wanaelewa kweli maana ya ya MSRP? Hii kawaida huwa tayari kodi imepigwa sasa siwaelewi wanapoipigia kodi tena

  The manufacturer's suggested retail price (MSRP), list price or recommended retail price (RRP) of a product is the price which the manufacturer recommends that the retailer sell the product. The intention was to help to standardise prices among locations. While some stores always sell at, or below, the suggested retail price, others do so only when items are on sale or closeout.
  The term is also backronymed to monroney suggested retail price, after the Monroney sticker which required that the MSRP of new cars be displayed.
  Suggested pricing methods may conflict with competition theory, as it allows prices to be set higher than would otherwise be the case, potentially negatively impacting consumers. However, resale price maintenance goes further than this and is illegal in many regions.
  Much of the time, stores charge less than the suggested retail price , depending upon the actual wholesale cost of each item, usually purchased in bulk from the manufacturer, or in smaller quantities through a distributor.
  Suggested prices can also be manipulated to be unreasonably high, allowing retailers to use deceptive advertising by showing the excessive price and then their actual selling price, implying tocustomers that they are getting a bargain. Game shows have long made use of suggested retail prices both as a game element, in which the contestant must determine the retail price of an item, or in valuing their prizes.
  Additionally, the use of MSRP and SRP have been confused. In certain supply chains, where a manufacturer sells to a wholesale distributor, and the distributor in turn sells to a reseller, the use of SRP is used to denote suggested reseller price. In that case MSRP is used to convey manufacturer suggested retail price.
   
 14. samito

  samito JF-Expert Member

  #14
  Aug 23, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 621
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  walishaweka current system jaribu kufungua mkuu
   
 15. T

  Tajiri Mtoto Senior Member

  #15
  Aug 23, 2011
  Joined: Feb 12, 2009
  Messages: 131
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 60

  CIF = 3500
  Taxes = 3315
  P/Charges = 150
  Shipping line = 75
  7040
   
Loading...