Msaada elekezi: Baada ya kupata usajili brella. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada elekezi: Baada ya kupata usajili brella.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Smarter, Aug 22, 2011.

 1. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2011
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Sharing is Caring Wandugu,

  1. Naomba uelekezi juu ya kuandaa minutes za Uamuzi wa Ma-directors juu ya kufungua Bank Account. Alie na templete anaweza kunisaidia ili
  nijue standard format.

  2. Na pia nahitaji msaada kwa Maelekezo ya Hatua muhimu zinazotakiwa kufuatwa baada ya Kampuni kusajiliwa Brella, Kampuni inajishughulisha
  na Kilimo. Je, nitahitaji leseni (mazao kwa sasa yatauzwa kwenye masoko ya ndani Tanzania); As naelezwa mazao hayana kodi kuna Je, nitahitaji
  kuwaona TRA kwa namna yeyote?

  3. Tafadhalini naombeni msaada.
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu smarter

  leo kwenye gazeti la The Citizen kuna bandiko la TRA ambalo linasoma hivi .... WITHHOLDING OF INCOME TAX ON GOODS AND SERVICES SUPPLIED BY PERSONS WHO DO NOT HOLD TIN CERTIFICATES

  Angalizo la bandiko hilo through tax act linasema ..... to this end, a farmer who supplies crops such as grains from his farm is not liable to withholding tax since such person's income does not arise from business. Nevertheless , in the case of commercial farmer or if any person buys crops from farmers and in turn sells to any corporation as defined above, then such corporation shall be required to withhold two percent (2%) of the gross payment made to such person as the case maybe.

  Bandiko hilo linamalizia kwa kusema

  Therefore, we wish to inform the public in general that no farmer other than commercial farmer will be liable for the withholding tax as stipulated under section 83A of the income tax Act cap332 of 2004

  my take: you are a commercial farmer if you do not grow these crops from your farms hence you need TIN no. or you may be both a farmer and a commercial farmer
   
 3. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Katafute TIN na Business Licence.,hiyo ya Resolution ndio kazi zinazotuweka mjini, ni PM tuwasiliane nitakufanyia kwa bei nafuu sana.
   
 4. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2011
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Asante LAT,
  Nashukuru kwa maelezo haya.........Kuni saidia zaidi, Kama nikilima and kuuza kwa middlemen (madalali) mazao yakiwa shambani ( i will not be liable for withholding tax?)


  yaani kwa kipengele hiki { " a farmer who supplies crops such as grains from his farm is not liable to withholding tax since such person's income does not arise from business"} mimi mlimaji na baada ya kulima nikauza kwa Mununuzi wa kati (hapa income yangu haijatoka from a business?

  And a farmer ambae si commercial wanamaanisha ni yule anaelima kwa kula mwenyewe?.

  Thank You Lat, appreciate much
   
 5. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2011
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  TIN na plan kutumia niliyonayo tayari (niliyopata katika kusajili gari) as niliwahi kwenda TRA kutaka TIN wakaniambia naweza kutumia same TIN as ni Director wa hii Kampuni.

  Hapa kwenye Business Licence. Before sijaja Private. Kwa nature ya Activities kama nilivyoeleza.....KULIMA NA KUUZA..............Leseni ninayoikata hapa ni ya aina gani?

  Asante.
   
Loading...