Waziri Nundu haitakii mema ATCL

Ndinani

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2010
Messages
5,862
Points
2,000

Ndinani

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2010
5,862 2,000
Toka alipochaguliwa kuwa waziri wa usafirishaji,Mheshimiwa Nundu ameonesha ishara kuwa yeye ni muumini wa ubepari na kwamba private sector peke yake ndio itaikomboa Airline industry ya Tanzania.

Ameonesha waziwazi kuipendelea Precision air dhidi ya ATCL mpaka hata kutoiombea bajeti ya kutosha mpaka hapo bunge lilipokuja juu na kumlazimisha kuongeza fedha za kulikwamua ATCL; sio hivyo tu bali hata uteuzi wake wa acting CEO wa ATCL haukuonesha umakini kwani hakufanya due dilligence ya mtu aliyemuweka[ he was not transparent].


Huyu acting CEO ameanza kutumia mabilioni ya fedha kukodisha ndege toka DUBAI , shirika likiwa halina hata bodi ya wakurugenzi ikiashiria kuwa Nundu na wizara yake ndio wanaliendesha shirika kinyume na sheria za nchi.

Hii yote inaonesha hujuma juu ya shirika la ATCL. Inaelekea mpango wao ni kuzifuja hizo fedha zilizotengwa na bunge baadae ndio wateue bodi halafu mabo yakienda kombo wailaumu bodi!! Someone should arrest this situation before it is too late.
 

Forum statistics

Threads 1,366,464
Members 521,454
Posts 33,369,794
Top