Nimechimba kisima cha kawaida, sasa natafuta pump ya kuvuta maji umbali wa mita 60 na kupandisha juu yatumike kwenye imwagiliaji. Sihitaji pump ya kuzamisha ndani ya kisima, nahitaji pump ambayo...
Jamani naomba msaada nina kampuni yangu na nilitakiwa kulipa VAT, Provisional Tax
Mimi likikuwa nimesafiri nikakuta kijana wangu amelipa vyote kwa paoja kwa kutumia cheki moja.
sasa naomba msaada...
sraeli Prime Minister Is a Liar, French President Tells Obama
By ALEXANDER MARQUARDT | ABC News - 1 hr 27 mins ago
French President Sarkozy called Israeli Prime Minister Netanyahu a liar in...
Wanajamvi,
Kwa anayejua namna ya kuonana na huyu mzee au contacts zake nisaidieni tafadhali. Nitasubiri PM pia coz contacts are rather confidential.
Ni suala genuine, utani uwekwe pembeni pls.
Wachumi sijui wataelezaje hali ya uchumi inavyoendelea nchini kwetu hivi sasa, pesa yetu inaporomoka kwa kasi ya ajabu sambamba na kupanda kwa bei za bidhaa mbalimbali na gharama za maisha kwa...
http://www.youtube.com/user/RhinoFoundation#p/a/u/1/ZobDq7zYRko
http://www.youtube.com/user/RhinoFoundation#p/a/u/0/dSv07o2twPU
MY TAKE
these dudes are doing a great job i can't wait for their...
Kuwa kiongozi inaanza namna hii:- Lazima kumuongoza huyu anayeongea/fikiria [Kujiongoza mwenyewe], Kisha kuongoza wasaidizi kwa mfano waosha magari. Kuongoza familia. Kuongoza Ukoo. Kuongoza...
Precision Airline was not that precise yesterday... does anybody know what happened? Will the company issue any explanation.. au ndio yale yale ya mgema...
Wafanya biashara wengi wakubwa wa mafuta ni wajumbe wa kamati ya madini na nishati, ambao inaonekana wana nguvu kubwa kisiasa ya kuweza kuyumbisha hata uchumi wa nchi. Kwa kuwa wamebanwa sana na...
By Fumbuka Ng'wanakilala
DAR ES SALAAM (Reuters) - Tanzania's growth this year may exceed the 6 percent forecast earlier due to the strong performance of its telecommunications, construction...
Sat, Nov 5th, 2011
Sat, Nov 5th, 2011| Tanzania
Minister for Home Affairs Mr Shamsi Vuai Nahodha
The Surface and Marine Transport Regulatory Authority (SUMATRA) yesterday banned motorcycles...
Royalties on gold seen going up by December
By Special Reporter
20th October 2011
Minerals and Energy Minister William Ngeleja
The government is planning raise royalty...
THE East African Breweries Limited (EABL) mini initial public offering (IPO) on its 20 per cent shares in the Tanzania Breweries Limited (TBL) started on a high note as the sale opened at the Dar...
Maana ya neno uchwara kwa lugha ya wenzetu ni Worthless. Ni muhimu tukalielewa hili wazi at the outset.
Mwaka 2008 wakati mtikisiko wa uchumi duniani unaanza kukamata moto, Rais Kikwete alitoa...
Uchumi wa tanzania tunashindwa kuukuza kwa kiwango kinachotakiwa kwa sababu tunaukuza kwa mchana tu. Wakati wenzetu wanaukuza mchana na usiku eg mabasi yanatembea usiku kucha, mabenk yako wazi...
Dear Members,
The Training will be scheduled during 20th February 2012 to 30th March 2012 (Six Weeks). This training Programme is being organized by Entrepreneurship Development Institute of India...
Wakuu poleni na sikukuu
Ombi langu kwenu ni wapi nitapata bonde lenye maji msimu wote wa mwaka kwa ajili ya kilimo cha mbogamboga
na mahindi ya mkwanyuo ninayo PUMP tatizo shamba tu.
BAADHI ya Watanzania wanaoishi Ulaya na Marekani wamesema Tanzania inakosa mapato mengi kutokana na gharama za kupiga simu nchini kuwa ghali karibu mara tatu ya viwango vya nchi zote za Afrika...