Matatizo ya uchumi wa tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matatizo ya uchumi wa tanzania

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by ikizu, Nov 7, 2011.

 1. ikizu

  ikizu JF-Expert Member

  #1
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 431
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Uchumi wa tanzania tunashindwa kuukuza kwa kiwango kinachotakiwa kwa sababu tunaukuza kwa mchana tu. Wakati wenzetu wanaukuza mchana na usiku eg mabasi yanatembea usiku kucha, mabenk yako wazi 24hrs, masupermarket pia sisi tunakiroma na kuaota ndoto na kuongeza familia
   
 2. ikizu

  ikizu JF-Expert Member

  #2
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 431
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  poleni watanzania kwa kufanya kazi mchana tu mnategemea uchumi utakuwa
   
 3. herrypeter1

  herrypeter1 JF-Expert Member

  #3
  Nov 7, 2011
  Joined: Jan 17, 2009
  Messages: 224
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ingekuwa ivyo ata watu wengi wangeajiliwa
   
Loading...