"Kuwa kiongozi"

benebantu

Member
Mar 12, 2010
17
0
Kuwa kiongozi inaanza namna hii:- Lazima kumuongoza huyu anayeongea/fikiria [Kujiongoza mwenyewe], Kisha kuongoza wasaidizi kwa mfano waosha magari. Kuongoza familia. Kuongoza Ukoo. Kuongoza timu - kazini. Kuongoza kampuni. Kuongoza nchi. KUONGOZA MATAIFA kama ifanyavyo Marekani n.k.

Wale wanaopenda sana kuwa viongozi - tafadhali sana jiandikisheni na hakikisheni mmeshiriki "GLOBAL LEADERSHIP SUMMIT" pale City Christian Centre, Opposite Mzumbe University - DSM Campus tarehe 11 na 12 Novemba 2011. Ukombozi wa kuwa kiongozi(viongozi) unaanza na wewe kuwa kiongozi wa mwenyewe - watu wengine huuita "Self Discipline au Personal Management". IT IS CERTAIN WE ARE GOING TO LIBERATE THIS COUNTRY; LET US BEGIN WITH THIS. LET US LIBERATE OUR MINDS & BODIES - LETS US TURN OURSELVES INTO LEADERS OF ONESELF(OURSELVES) by participating in this years' Global Leadership Summit for TANZANIA.
 
Back
Top Bottom