bondela kumwagilia kwa pump | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

bondela kumwagilia kwa pump

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mangolo, Nov 6, 2011.

 1. M

  Mangolo Member

  #1
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 30, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wakuu poleni na sikukuu
  Ombi langu kwenu ni wapi nitapata bonde lenye maji msimu wote wa mwaka kwa ajili ya kilimo cha mbogamboga
  na mahindi ya mkwanyuo ninayo PUMP tatizo shamba tu.
   
 2. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #2
  Nov 6, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Bonde lipo maji yako chini ya ardhi umbali wa mita 20-40
   
 3. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #3
  Nov 7, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mkuu kama hutajali naomba kufahamishwa aina ya pump uliyonayo pamoja na gharama za kuipata. Asante
   
 4. T

  Tsidekenu Senior Member

  #4
  Nov 7, 2011
  Joined: May 7, 2009
  Messages: 141
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  nipm, ninaweza kukukodishia la kwetu, liko pembeni ya mto. kwa sasa nimwshindwa kulima kwasababu sina msimamizi mzuri.
   
Loading...