Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

WanaJF habari za leo, Ni saa 2:11 kamili hapa Morogoro niliko. Sasa leo hali ya hewa imeamua kuja kiaina: ukungu wa kutosha, kabaridi kwa mbali. Na bado nkaondoka nyumbani saa 11 kujiandaa kwa...
1 Reactions
2 Replies
644 Views
Kwa kweli sina uzoefu wowote kuhusu jinsi ya kuandika andiko la mradi. Kwa sasa ninahitajika kuandika, lakini sijui nianzie wapi wala niishie wapi. Hivyo basi, kama kuna yeyote hapa ambaye ana...
0 Reactions
3 Replies
552 Views
Wakuu nauliza vibali maalamu vinavyohitajika kusafirisha mazao kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine ni vip nisaidie hapo
1 Reactions
8 Replies
745 Views
Unapoteza Pesa na Muda Bila Kujua? Huu Ndio Suluhisho! Katika dunia ya kisasa ya kidigitali, biashara na taasisi nyingi bado zinatumia mbinu za zamani za mawasiliano na uhifadhi wa taarifa. Barua...
7 Reactions
11 Replies
973 Views
Naomba kusaidiwa jinsi ya kuingia hazina portal nmejiresta ila baada ya hapo kila nkitaka kuingia inagoma inanambia access denied na wananambia invalid login nkijarbu nkuforgot password ili nianze...
1 Reactions
1 Replies
980 Views
Una duka la kuuza nguo na viatu? Fanya hivi ili kupata wateja wa online au walioko mbali na duka lako! Chukulia duka ni kama ofisi ya kukusanyia mizigo yako na watu kuja kuchukua nguo...
9 Reactions
13 Replies
1K Views
Hello bosses and roses... Nina kampuni ambayo inajihusisha na Teknolojia ina mwaka wa pili sasa. Kuna project tunataka kuifanya lakini inahitaji kiwago kikubwa cha uwekezaji ambao unaweza...
5 Reactions
47 Replies
2K Views
Katika kujikinga na kujilinda na uchafuzi wa mazingira, kampuni ya Zanrec recycling company tunayo furaha kuwajulisha kua tunatengeneza na kuuza mbao na nguzo za plastiki, mbao hizi ni ngum na...
3 Reactions
10 Replies
887 Views
Eneo lipo Kinyerezi mwisho mkabara na IKUPA SUPERMARKET Stendi ya zamani ni hatua kumi za miguu kuikuta Barabara kuu ya kutoka Mbezi kwenda mjini, pia eneo lina banda lenye kabati mbili zenye...
7 Reactions
43 Replies
3K Views
Miaka ya hivi karibuni wanawake wamekuja juu sana kwenye Biashara nimeshangaa mpaka ilala madada wanauza Autoparts ni jambo jema sababu wanatafuta namna ya kuchangia kwenye familia na kujiwezesha...
7 Reactions
47 Replies
2K Views
Yafuatayo ni majibu kwanini chargi za simu za aina tofauti-tofauti hazitengenezwi Tanzania majibu yapo kwenye video
11 Reactions
129 Replies
3K Views
Kwema Wakuu! Nimemsikia ndugu yangu ngara23 akilalamika mwezi mzima wa Tisa, na sasa tumeingia mwezi wa Kumi bado anaendelea kulia. Kariakoo mawinga kabla mteja hajafika tayari wanakuwa na bei...
46 Reactions
256 Replies
12K Views
Habari wakuu Wenye connection ya kupata wateja au soko la dagaa wa kavu na wakukaanga dar
2 Reactions
7 Replies
674 Views
Habari wapendwa, watanzania wenzangu Naomba Leo kuja kwenye jukwaa hili la biashara uchumi na ujasiriamali nikiwa na mada inayohusiana na faida za uagizaji wa magari Toka nje ya nchi...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau naomba mawazo,,ni shughuli Gani naweza kuwekeza 20 million ikawa inanipa faida ya 2million kwa hapa Dar au kwingineko? Ushauri ndugu kwa usoefu wenu
8 Reactions
57 Replies
4K Views
Habari wana JF... tujifunze utengeneza wa mafuta ya mgando. MALIGHAFI 1.MICRO WAX 2.WHITE OIL 3.RANGI 4.PERFUME 5.VIFUNGASHIO JINSI YA KUTENGENEZA Weka MICRO WAX kilo 1 kwenye sufuria...
18 Reactions
50 Replies
34K Views
Wakuu, kichwa kinajieleza. Karibuni Tushirikishane list ya vijana matajiri Tz na chanzo cha utajiri wao?
0 Reactions
27 Replies
10K Views
Wakongwe wa Kuuza Vocha naombeni ushauri nitumie njia gani?. Mfano: ILIKUWEPO MOBSTOCK
2 Reactions
7 Replies
2K Views
.
0 Reactions
0 Replies
158 Views
Gunia la mahindi kilo 110 ni Tsh. ngapi?
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom