Wakuu habari zenu.
Naleta ombi kama nilivotumiwa mshauri huyu binti.
Ni binti 28yrs now, Yuko manispaa ya urambo mjini Tabora uko. Nyumbani kwao anakoishi sasa wana fremu za biashara kama nne...
Wanajamvi,
Naomba ushirikiano katika ushauri wenu wa biashara hii ya Mchele. Kutoa pale Mbeya kupeleka Zambia kwa mtaji wa Milioni 5, nimesikia kua Zambia biashara hii inalipa
Fremu ninayo tayari. Ninacho hitaji ni Video Camera, Still pictures Camera na video camera. Kwa kiasi hicho cha pesa naweza kupata hivyo vifaa?
Wajuvi nipeni muongozo na ushauri
Serikali Kupitia Kamishna wa Miradi ya Ubia PPP David Kafulila amesema ujenzi wa Barabara ya Kulipa njia 4 kutoka Kibaha-Morogoro ExpressWay iko katika hatua za mwisho za kumpata mkandarasi tayari...
Dar es Salaam. Serikali itakamilisha ujenzi wa barabara nne za juu flyover katika jiji la Dar es Salaam ndani ya miaka mitatu na daraja la Kigamboni Juni mwakani, Waziri wa Ujenzi, Dk John...
Wakuu heshima kwanu.
Mwenye uzoefu na biashara ya simu za mkopo au agent wa simu za mkopo kutoka Easybuy au Watu simu naomba tuwasiliane.
Nitakulipa gharama za usumbufu.
Please DM
Nimeona mdau mmoja humu anahamasisha watu wazame bush wakanunue kwa bei ndogo walete mazao mjini wauze kwa bei kubwa ili wapige pesa.
Hili wazo ni zuri sana lakini ni vyema tupeane tahadhari...
Wasee habari !
Leo nimeona ni share na wewe side hustle business idea ambayo inaweza kukupa pesa instead of kuzurura mtandao bila tija si sawa. Juzi kati baada ya pot la pressure cooker kuzingua...
Kwa Hali ya shilingi yetu Kwa sasa ni mbovu na mikakati dhabiti inahitajika kukumaza fedha yetu. Moja ya maono ya JPM ilikua kuwezesha viwanda vya ndani kupitia kuwanyanyua wazalishaji wadogo na...
Habari wanaJF,
Niko Mzumbe, katika sehemu moja hapa. Usiku usiku nlikuwa najaribu kuweka mambo sawa. Nilipanga mengi, ila nimejikuta nazima moto. Inshallah ntaendelea kesho.
USAID imeondoka rasmi...
Wapendwa kwema poleni na majukumu nimeona fulsa kidogo hapa kijijini kwetu.
Kakatika pitapita zangu nimeona fulsa ya ndizi huku kijijini kwetu nimeona zinapatana kwa wingi sana sasa kabla...
Nimefanya kazi za freelancing na agencies nyingi sana.
Nimejifunza
Jinsi wanavyofanya kazi,
Jinsi wanavyotafuta Clients
Wanavotangaza huduma zao
wanavyowasilisha offer zao.
Meetings zao nyingi...
Habari,
Anayefahamu wanapouza au kiwanda Cha mifuko ya nylon kinapatikana maeneo gani kwa hapa dsm
Mifuko hutumika hutumika kuwekea vitu vidogo vidogo madukani
Kama kichwa cha habari kinavojieleza, nimefikiria namna ya kuongeza kipato changu nikapata njia ya kwenda china ili niwe naagizwa na wabongo wenzangu niwatafutie bidhaa na kuwaagizia, ili walau...
Habari wanaJF,
Natumaini mko salama. Nimejibanza sehemu fulani hapa Morogoro ili kuandika maneno haya. Jua linawaka dane, feni inazunguka juu yangu, na hamna usumbufu wowote. Natumaini na wewe...
Kanda ya nyanda za juu kusini ni kubwa sana kieneo inajumuisha mikoa ya Mbeya ,iringa, njombe, ruvuma ,songwe , rukwa na katavi kijiografia hii Kanda ingegawanywa mara mbili kutokana na umbali wa...
Wafanyabiashara wengi wanaoendesha biashara ya kuagiza mizigo kutoka nje ya nchi kwa kutumia fedha za wateja kama njia ya kufanikisha biashara hukumbana na changamoto kubwa katika eneo la uhasibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.