Habari wanaJF,
Natumaini mnaendelea vizuri. Nimerudi tena (na kasi yangu imenipa zawadi ya "can't stop" ya JF). Asante sana Maxcence and the team.
Juzi kati nilipigiwa simu na mdau mmoja...
Baada ya kuishi pamoja kwa miaka 16 bila ndoa rasmi, Mkurugenzi wa lebo ya “Cash Money Records”, Birdman (56), na mwimbaji mashuhuri wa RnB, Toni Braxton (57), waliamua kufunga ndoa kimya kimya...
Fundraising Event kwenye kwa nchi nyingi, imekuwa na mafanikio makubwa. Matukio haya yamekuwa yakiyawezesha mashirika mablimbali kama vile hospitali, vyuo, asasi za kiraia n.k kukusanya...
Habari wana JF. Thread hii inahusu KARIAKOO.
Kwanza kabisa naomba nianze Kwa taarifa kutoka EACLC UBUNGO. "Uongozi wa kituo Cha biashara Cha kimataifa Ubungo umetangaza Kodi ya duka EACLC...
Nina mtaji wa kama 1m nimefikiria nianzishe biashara hasa ya dagaa hasa za nwanza zisizo na mchanga
Nahitaji msaada wenu hasa
*Bei ya ndoo na inakuwa kilo ngapi
*Bei ya gunia na linakuwa na kilo...
Wadau nauliza wenye uzoefu watusaidie,
Jambo gani ni mhimu kuanza nalo ukiwa unafungua biashara(business)
Unawaza kwanza biashara ya kufanya ndio utafute location(eneo) Au unatafuta kwanza eneo...
WAZIRI MAVUNDE AINGILIA KATI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA CSR MKOANI GEITA
▪️Ataka taarifa kamili ndani ya siku tatu ya mpango wa utekelezaji CSR
▪️Miradi ya 2018-2021 kukamilishwa
▪️Fedha...
Kumiliki nyumba au ardhi haviwezi kukupa utajiri mkubwa, fuatana nami ujifunze experience yangu ya umiliki wa hizi mali
Mimi Mr Why nataka nishare experience yangu ya umiliki wa nyumba na ardhi...
Naomba anayejua zaidi kuhusiana na biashara za KIWANDA Cha maandazi au MIKATE kama kichwa Cha ombi kinavyojieleza aweze kunielewesha vyema
#FAIDAKWAWOTE
▪️Kiwanda kuzalisha tani 22,000 za baruti na vilipuzi milioni 15 kwa mwaka
▪️Ni matokeo ya kazi ya Rais Samia mazingira kuvutia uwekezaji
▪️ Zaidi ya ajira 300 za moja kwa moja na 1000 zisizo za...
SERIKALI KUANZA KUNUNUA MAHINDI YA NGARA
📝14/04/2025
NGARA
✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓
Serikali imeahidi kuanza kununua mahindi ya Wakulima wa Wilaya ya Ngara kuanzia mwezi wa...
Hii ni wiki ya 16 Kwa Mwaka huu 2025. Ni wiki ya kufanya mapinduzi kwenye maisha yetu, ni wiki ya mabadiliko hapa Smart Finance! Wiki hii, tunakwenda kujifunza njia saba za kuacha mambo yote...
MAWAZO 112 YA BIASHARA NA MITAJI YAKE
Kitabu hiki kinapatikana kwa Softcopy (PDF)
Kitabu hiki kina mawazo 112 ya biashara pamoja na mtaji unaohitajika kuanzisha kila moja. Kinafaa kwa:
(i)...
Habari njema kwa wote! 🎉
Tunawaletea Pocket WiFi Portable yenye kasi ya 4G, inayokuwezesha kufurahia internet popote ulipo! 🔥
👉 Bei ya WiFi: Sh. 50,000 tu!
👉 Ukisajili, unapata GB 20 BURE kwa...
Unajua, kuwa mtumishi wa umma, haimaanishi utaishi kwa kutegemea mshahara tu, inabidi ujishughulishe either na biashara au kilimo. Kilimo kwa mtumishi inawezekana lakini kwa kutegemeana na eneo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.