Huki mjini tsh 500Huku US muhindi mmoja ni 0.75 cents. Ni kama shilingi 2,000 hivi.
Tanzania muhindi mmoja shilingi ngapi?
Kwa huku Manyara, Gunia moja la mahindi makavu kg.110 ni 85,000 - 90,000/=Huku US muhindi mmoja ni 0.75 cents. Ni kama shilingi 2,000 hivi.
Tanzania muhindi mmoja shilingi ngapi?
yanapatikana sehemu gani?Gunia la mahindi debe 6 lina elfu 60k kwa 66k