Poleni na majukumu wapendwa.Mimi ni mwanafunzi kwa sasa nipo Sweden nafanya kadegree ka Engineering Survey,Ndoto yangu ni kwamba baada ya shule nirudi nyumbani na lengo ni kujiajiri.Natamani sana...
Wakuu habari .
Mimi ni kijana mtafutaji age 20s (Early) ambaye nipo natafuta fursa ya kufanya Kazi katika 'Car wash" Ila pia Endapo atapatikana MTU anahitaji kuwekeza katika huu mradi nipo tayari...
Kwa yoyote anayehitaji mashine ya juice ya miwa ipo sokon inauzwa mashine inatumia umeme na mafuta mashine pia ina kibanda cha kujikinga na jua
Bei yake ni 950000
WhatsApp 0686298896
Location .dodoma
Habar wadau??
Naitwa Genchi naomba msaada wa connection ya kupeleka biashara(nafaka) nchi ya comoro! No ndoto yangu mda mrefu kufanya export na nimechagua comoro kama nchi ambayo inaweza...
Tofauti kidogo na leseni Kundi B Uombaji wa leseni Kundi A unahitaji taarifa nyingi zaidi.
Kwenye Thread hii nimekuandikia Taarifa zinazohitajika wakati wa kuomba leseni Kundi A.
1. Taarifa Za...
Habari!
Nihitaji kununua TCL android tv 32 ". Kwa Bahati nzuri nilifika Kariakoo nikatafuta hizo TCL na kuzIpata lakini cha ajabu vioo vyake naona si kama nlivyotarajia kwani ukivipiga piga (gusa...
Wakuu naamini kila MTU Ana ndoto ya kufanya biashara Fulani ili afikie malengo yake aliyonayo.
Naamini Kuna wengi wanatamani kujua zaidi hii biashara kabala hawajaingia
Kuna Aina nyingi za Fursa...
Wakuu amani na iwe nanyi. Nahitaji mtu wa kushirikiana naye katika biashara. Awe na mtaji wa fedha kwa ajili ya kununulia bidhaa mimi ninao wateja na connection ya kuupata mzigo. Mahali pa kuupata...
WAZIRI MAVUNDE: WADAU WAITIKIA WITO WA UONGEZAJI THAMANI MADINI NCHINI
▪️Ni utekelezaji wa maagizo ya Mhe. Rais Dkt. Samia S. Hassan
▪️Kiwanda cha kuchakata madini ya shaba chajengwa Wilayani...
WAZIRI MAVUNDE AZINDUA RASMI SHUGHULI ZA UCHIMBAJI MADINI PORCUPINE NORTH - CHUNYA MBEYA
▪️Ni Leseni Hodhi zilizorudi Serikalini baada ya kumalizika kesi na wawekezaji
▪️Mapato ya Serikali...
Umefanya kila aina ya kazi bado mambo magumu
Umefanya biashara kila aina bado hujatoboa
Ukaambiwa Kuna waganga wanatoa utajiri, umezunguka mpaka sent ya mwishoo umekata hamna kitu
Njoo pm...
Tanzania ina maeneo mengi yenye shughuli nyingi za kiuchumi na fursa za biashara. Hapa chini ni orodha ya maeneo 13, yenye fursa nyingi za kiuchumi:
1. Dar es Salaam: Jiji kuu la kibiashara...
Habari za wakati huu;
Mkoa wa Tabora ni mooa ulioko Karibi na Eneo la Magharibi mwa Tanzania.Ni mmoja katika ya Mikoa ya mwanzoni kabisa kukua.Ni mkoa wenye idadi kubwa sana ya watu ukiwa mkoa wa...
Jinsi Ninavyopata wateja wa kazi za freelancing.
Hizi njia ukiweza kuzitumia zitakupa matokeo ndaninya miezi mitatu.
Pia unaweza kuzitumia kwenye biashara yoyote
Kwanza kabisa wateja wa uhakika...
Habari wakuu,
Nataka kuanza kufanya hii biashara ya vitenge kutoka Zambia, kuna Jamaa anaifanya biashara hii aliniambia ina faida yeye alianza na mtaji wa milioni 1.5 mpaka sasa mtaji umefikia...
Kuna mdau anauliza ikitokea mkandarasi alisaini mkataba wa kujenga kilomita 50 za lami labda kutoka Njombe kwenda Ludewa baada ya kufika site anaona mbona kuna njia ya mkato naweza kupunguza...
Njia 30 za kuleta wateja kwenye Biashara au huduma yako:
👉Kwa wafanyabiashara wa Online
👉Freelancers
👉Service provider
👉Wanaouza products za afya
👉Wanaouza digital products
👉Wenye ofisi / kampuni...
Nauza Mitsubishi Outlander ya 2009, bei ni Mil 18. Niliagiza ikiwa na Km 132,000 (Genuine) sasahivi ina km 150,000 kwahiyo nimeitembelea Km 18,000 tu. Haina shida yoyote kwenye engine, gearbox...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.