Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Natafuta kampuni ya clearing ya kununua. Bajeti ni 15m
1 Reactions
5 Replies
542 Views
Kama Bajaji moja ni 10M means unaweza pata Pikipiki 3 ndani ya Bajaji Moja. Kuwa na pikipiki tatu au Bajaji moja Biashara ipi hapo inaweza rudisha pesa yako kwa Haraka.??
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Watu wengi huamini kuwa wakishahitimu chuo kikuu na kupata degree au Diploma, basi mafanikio yanakuja moja kwa moja kama mvua. Ukweli ni kwamba — Elimu ya darasani peke yake haitoshi. Kama hujui...
4 Reactions
5 Replies
530 Views
Habari zenu, kwa wale wafanyabiashara wa maharage, mnatumia nini kupima maharage mnapouza kwa wazaji wa rejareja?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tunakuwa Maskini kwa sababu ya kuwekeza kwenye vitu ambavyo havina faida Wakinga wanafanikiwa kwa sababu ya nidhamu ya Pesa. Mtu anavaa nguo Moja lakini anawekeza kwenye biashara. Utasikia sina...
7 Reactions
70 Replies
3K Views
Ukituma pesa kwa mteja/kuweka pesa. mteja akitoa pesa . Malipo kutoka mtandao husika kwa wakala yanakuaje kwa mweźi au ni papo hapo kwa kila muamala? . mwenye kuelewa msaada tafadhali.
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Salaam kwa wanajamvi wote! Kazi zifuatazo naweza kukufanyia kwa kwa gharama nafuu kabisa popote ulipo Tz hii. 1) Kukuandalia Mpango wa biashara pamoja na mchanganuo 2) Kukuandalia Pendekezo la...
7 Reactions
10 Replies
810 Views
Kusajili biashara ni suala moja, ku finance hio biashara ni suala lingine kabisa. Swali la muhimu hapa ni namna gani wafanya biashara hu finance biashara zao? Kwenye Thread hii nimekuorodheshea...
3 Reactions
7 Replies
878 Views
Tangu Rais wa Marekani, Donald Trump, alipotangaza viwango vipya vya ushuru kwa bidhaa zinazoingizwa nchini humo, kumekuwa na hofu kutoka kwa mataifa mbalimbali duniani ya jinsi yatakavyoathirika...
4 Reactions
5 Replies
798 Views
Habari zenu wadau wa jukwaa hili.. Nichukue nafasi hii kuwataka radhi wale ambao watachukizwa na uzi huu lengo langu ni kupata ushauri juu ya wazo langu la biashara. Nianze kama ifuatavyo: Mimi...
4 Reactions
11 Replies
690 Views
MBUNE SYLVIA SIGULA: MIFUKO YA MIKOPO YA SERIKALI HAIJAFIKA KWA WALENGWA Mbunge wa Viti Maalumu, Mhe. Sylvia Sigula amesema Serikali imefanya kazi kubwa katika kuanzisha mifuko mbalimbali ya...
1 Reactions
2 Replies
330 Views
Wakuu naomba kufahamu namna ya kukopa mkopo Hazina kwa watumishi wa Umma.. Nasikia huko hazina hakunaga Riba. Ahsante.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wana jukwaa. Ni matumaini yangu kuwa mko wazima bukheri. Kama kichwa cha mada hapo juu, naomba kuuliza kuhusu uwekezaji kwenye Hati fungani na UTT Amis. Swali langu ni...
3 Reactions
22 Replies
6K Views
Naitwa Mwakawasila Ni mtaalamu na mkufunzi mbobevu kwenye masuala ya Fedha Hadi saizi ni zaidi ya watu 50 tiyari wanawekeza kwenye HISA, HATIFUNGANI na UTTAMIS, Lakini wengi zaidi kwenye HISA...
2 Reactions
8 Replies
798 Views
Naomba nijibiwe hili swali kwa weledi bila kejeli wala mzaha Hakuna mtu hapendi pesa wadau na kila siku watu hujituma kutafuta pesa sasa pesa huwa inapatikana wapi? Naomba nieleweke nikisema...
30 Reactions
326 Replies
14K Views
Habari wana JF it's another beautiful day. Thread hii ipo kukumbusha ewe mwanaume & mwanamke mwajiriwa (Polisi, Mwalimu, Dactari, Mbunge, Waziri, Mwanajeshi, Banker, Mwasibu, Meneja wa...
2 Reactions
4 Replies
539 Views
Habarini wana JF nina wazo la kuwa wakala mkuu wa kusajili line na kumiliki vijana kadhaa wakusajili. Je, utaratibu upoje na jinsi ya malipo inakuwaje?
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wanaJF, NIPO kwenye basi la Laviha inayotoka Dar kuelekea Ifakara. Tupo mkambarani tunakaribia Moro. Sasa ameingia jamaa mmoja hivi na dawa ya meno ya Vigo Doctor. Akajitambulisha...
10 Reactions
14 Replies
851 Views
Leo ni siku ya kuzaliwa ya Aliko Dangote – bilionea namba moja Afrika na mfano wa kuigwa kwa wawekezaji wadogo. Kupitia safari yake ya kibiashara, tunajifunza kuwa mafanikio makubwa yanaweza...
5 Reactions
11 Replies
737 Views
Nimeokota mawe haya yapo kama chupa, swali ni mawe au ni chupa?
1 Reactions
11 Replies
882 Views
Back
Top Bottom