Mjasiriamali : Utengenezaji wa mafuta ya mgando (ya kupaka)

Queen___

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
214
Reaction score
224
Habari wana JF...
tujifunze utengeneza wa mafuta ya mgando.

MALIGHAFI
1.MICRO WAX
2.WHITE OIL
3.RANGI
4.PERFUME
5.VIFUNGASHIO

JINSI YA KUTENGENEZA

Weka MICRO WAX kilo 1 kwenye sufuria kisha injika jikoni, ikianza kuyeyuka miminia WHITE OIL lita 2 weka RANGI nusu kijiko cha chai kama utapenda.

Ipua kisha weka PERFUME (MANUKATO) kijiko kimoja cha chakula kama utapenda. Acha yaanze kupoa, yakianza kuwa mazito paki kwenye VIFUNGASHIO. yakiganda funga vifungashio tumia au kauze.

Asante...
-Queen Chagga
 
Queen Chagga
Asante kwa shule hii umeitoa ni jambo la maana na ujasiri mkubwa kutoa elimu kama hii bila masharti.
White oil ni ipi? Ndio glycerine au ni kitu kingine? Je malighafi hizi zinapatikana wapi?
Ubarikiwe queen wetu.
 
Nilitaka kuchanganya na vitutubisho vya asili kama, muarobaini,parachichi,alovela nk nafanyaje
 
Asante. You are indeed the Queen. Big Brain...Nimekupenda buree...Maana hii elimu uliyotoa kuhusu ili wazo yaani mtaji wake unaweza hata usifike laki.
 
Queen Chagga
Asante kwa shule hii umeitoa ni jambo la maana na ujasiri mkubwa kutoa elimu kama hii bila masharti.
White oil ni ipi? Ndio glycerine au ni kitu kingine? Je malighafi hizi zinapatikana wapi?
Ubarikiwe queen wetu.
Thank you

Sent from my HUAWEI Y360-U61 using JamiiForums mobile app
 
Nilitaka kuchanganya na vitutubisho vya asili kama, muarobaini,parachichi,alovela nk nafanyaje
Pritty..... Nivizuri kuchanganya na virutubisho vya asili ila tatizo unakuwa huna kipimo halisi kuzidisha au kupunguza inaweza leta madhara kwa ngozi ya binadamu....
Kwa mfano naweza kwambia weka muarobaini robo lita... Wewe ukachemsha then ukapima robolita mwingine akablend akapima robo lita vile vile.. Tayar ina kuwa ni vitu viwili tufauti

Sent from my HUAWEI Y360-U61 using JamiiForums mobile app
 
Habari wana JF...
tujifunze utengeneza wa mafuta ya mgando.

MALIGHAFI
1.MICRO WAX
2.WHITE OIL
3.RANGI
4.PERFUME
5.VIFUNGASHIO

JINSI YA KUTENGENEZA

Weka MICRO WAX kilo 1 kwenye sufuria kisha injika jikoni, ikianza kuyeyuka miminia WHITE OIL lita 2 weka RANGI nusu kijiko cha chai kama utapenda.
Ipua kisha weka PERFUME (MANUKATO) kijiko kimoja cha chakula kama utapenda. Acha yaanze kupoa, yakianza kuwa mazito paki kwenye VIFUNGASHIO. yakiganda funga vifungashio tumia au kauze.

Asante...
-Queen Chagga
Asante kwa somo zuri tunasubiri utengenezaji wa KEKI
 
Kwa elimu hii bure? Nakosa neno la kukushukuru mwenyezimungu akulipe kwa hili
 
Mimi naomba sabuni ya kipande ...kukupata live nikuone wapi mamy nipo tayari kulipa.
 
Nasubiri majibu ya maswali ya PM dadaangu naona kimya ! au kama tunaweza ongea kikazi just weka wazi. Natumaini...
 
Queen Chagga
Asante kwa shule hii umeitoa ni jambo la maana na ujasiri mkubwa kutoa elimu kama hii bila masharti.
White oil ni ipi? Ndio glycerine au ni kitu kingine? Je malighafi hizi zinapatikana wapi?
Ubarikiwe queen wetu.
Changamoto ni upatikanaji wa malighafi dada yangu! Tuelekeze wapi pa kupata hizo
 
Back
Top Bottom