Tigo has today announced the appointment of Mr. Diego Gutierrez as its new General Manager of Tigo Tanzania.He replaces Mr Marcel Aleman who has been appointed GM of MIC's operation in El Salvador...
kati ya matawi ya nmb tanzania yenye huduma mbovu ni tawi la nmb mkwawa branch iringa hamna utaratibu mzuri wa kupata huduma kwa haraka.haiwezekani kukaa katika folen masaa matano.rekebishen hilo
To all interested parties , we are legal representatives for Major copper cathodes buyers in UK and Canada, ready to engage in and purchase copper cathodes for LME registered sellers with smelters...
Salam wanaJF wenye tafsiri kamili za Uchumi na mgawanyo wa rasilimali za kimaendeleo
Je uchumi wa Tanzania unakua au unaedelea?
Je matumizi yakujirudiarudia katika uendeshaji wa shughuli za...
Uganda imezishinda Kenya na Tanzania kwenye Logistics Performance Index, huku Tanzania ikiponea chupuchupu
kulingana na Kenya. LPI ni kipimo cha kibiashara za kimataifa kuonesha urahisi wa...
Ndugu wanajamvi, naomba mtu yeyote anaeweza kutusaidia juu ya hili suala, tunaambiwa pindi tumalizapo elimu zetu tujiajiri wenyewe.. Ni jambo zuri ila tatizo linakuja kwenye namna ya...
Special Seats member of Parliament Josephine Chagula (CCM) has advised the government to use the National Housing (NHC) to construct hostels in secondary schools.
She told the House that one of...
wanabodi,
nimekuwa nikifikiria juu ya kuanzisha biashara ya kuuza vifaa, ku-install systems na kufanya maintenance ya solar power systems kwa muda sasa.
naomba msaada wa kimawazo na taarifa juu ya...
Nakumbuka kusoma kwenye internet miezi kadhaa iliyopita kuhusu benki moja ya Tanzania ilianzisha account (investment vehicle/product) ambayo unalipa Tshs laki tano kila mwezi kwa miaka 10 (miezi...
Tumbaku yaipuku dhahabu kuingizia mapato ya halmashauri
Send to a friend
Wednesday, 18 April 2012 19:51
0diggsdigg
Shija Felician, Kahama
KILIMO cha tumbaku...
Wapendwa,
Ile gesi inayotumia mabaki ya chakula na maji sasa inamuwezesha mteja kulipia 550,000 kwa awamu na kisha kufungiwa mtambo. kwa maelezo zaidi angalia jedwali hapo chini
Mwezi
Mwezi...
Habari wana jf,kwanza nawatakia sikukuu njema ya Pasaka,Mimi bainafsi napenda kuwa mfanyabiashara au muwekezaji na sio mfanyakazi(kuajiriwa). kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia sana historia za...
Mimi ni mdada wa miaka 26 niko rombo kilimanjaro elimu yangu ni form six,nilikua nimeajiriwa na campuni moja jijini dar es salaam ila kutokana na matatizo ya kazini nimeacha kazi.kwa sasa niko...
Habari wanajamii,Naomba kufahamishwa, kuna document (siifahamu jina) ya uendeshaji/ utendaji inayoonesha jinsi uongozi wa project au kampuni na wajibu wa kila mmoja. Mfano meneja atafanya hiki...
Dear JF,
Would like to launch and delve into debating money laundry in Tanzania. Who are the actor? which strategies they apply?
Can any one there think a little about such existing relationships...
Wafanyabiashara wa kariakoo walio wengi wanatumia usafiri wa makontena kwa mizigo yao, nadhani ni sahihi kwa magari makubwa ya kontena kuzuiliwa kuingia katikati ya jiji sababu ya msongamano...