hii kero NMB MKWAWA BRANCH hadi lini?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hii kero NMB MKWAWA BRANCH hadi lini??

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Gwaks makono, Apr 23, 2012.

 1. G

  Gwaks makono Senior Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Aug 27, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kati ya matawi ya nmb tanzania yenye huduma mbovu ni tawi la nmb mkwawa branch iringa hamna utaratibu mzuri wa kupata huduma kwa haraka.haiwezekani kukaa katika folen masaa matano.rekebishen hilo
   
 2. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,924
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Mimi nimeenda pale na siku zote naona wako okay.

  Nafikiri na Marekebisho ya ujenzi wa jengo la Benki nayo yanachangia.

  But nimeona hawana mashine za kuhesabia hela kwa kila teller.

  Wanasema kama una hela ''nyingi'' kuna ka corridor fulani unaingia zihesabiwe ndio zipelekwe kwa Teller.

  Ningeshauri tu kila teler awe na hiyo mashine ya cash count.
   
Loading...