Msaada wa namna yakuanzisha biashara kulingana na taaluma yako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa namna yakuanzisha biashara kulingana na taaluma yako

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by hbi, Apr 22, 2012.

 1. hbi

  hbi JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 60
  Ndugu wanajamvi, naomba mtu yeyote anaeweza kutusaidia juu ya hili suala, tunaambiwa pindi tumalizapo elimu zetu tujiajiri wenyewe.. Ni jambo zuri ila tatizo linakuja kwenye namna ya kujiajiri.. Tulio wengi huwa tunawaza kufanyaa biashara na baadhi yetu tunadhani kua biashara ni kuuza bidhaa au kufungua maduka makubwa.. Lakini tukiangalia upande mwingine je kunauwezekano wa mtu kufanya biashara kulingana na taaluma yake? kwa mfano mwalimu,mhasibu,mhandisi,mtu wa kompyuta na wengine wengi.. Mwenye ufaham wa hii kitu naomba atusaidie ili tuweze kujikomboa na janga hili la taifa
   
Loading...