Money laundering in Tanzania: Actors and Strategists | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Money laundering in Tanzania: Actors and Strategists

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Sophist, May 27, 2009.

 1. Sophist

  Sophist JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2009
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 3,087
  Likes Received: 1,733
  Trophy Points: 280
  Dear JF,
  Would like to launch and delve into debating money laundry in Tanzania. Who are the actor? which strategies they apply?
  Can any one there think a little about such existing relationships between the following pairs, and possibly develop some conclusions with respect to Money Laundry in the country?

  1. JK vis-a-vis and James Synclair
  2. F. Sumaye vis-a-vis Nabii/Mtume Mwingira
  3. F. Sumaye vis-a-vis J. Shigongo
  4. F. Sumaye vis-a-vis Rev. G Rwakatare
  5. Y. Makamba vis-a-vis Thadeo Mutembei
  6. ..........
  7. ...........
  8. ..........
  9. .........
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  May 27, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  "money laundry" ndio nini?
   
 3. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #3
  May 27, 2009
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  I doubt alimaanisha Money Laundering, tumebadilisha title.

   
 4. T

  Tsidekenu Senior Member

  #4
  May 27, 2009
  Joined: May 7, 2009
  Messages: 141
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  jamani chnonde chonde - Mwingira kosa lake nini?
   
 5. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #5
  May 27, 2009
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Ndugu yangu tsidekenu,

  Hawa viongozi wa Dini ukianikiwa uozo wao unaweza kujikuta unapungukiwa imani. Muhimu endelea kuamini kuwa Mtume na Nabii Mwingira ni msafi na ikiwezekana fuata unachoona anakueleza na ukaona ni kwa utukufu wa Mungu na uzima wako, nyuma ya pazia hapafai kupachungulia!
   
 6. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  SUMAE looks like a MIDFIELDER HERE!
  lol!COUNFUSED
   
 7. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Safari za F. Sumaye kwa Mch. G Lwakatare wanakuwa private hadi usiku wa manane mzee anakung'uta mavumbi anarudi kwa ma wife!!!!! Du maombi makali hayo!!! Bwana Yesu asifiwe ..............Amen, Kidumu chama cha M.......Kidumu zaidi.... Kweli ukiamua kumchungua bata hutamla!!!!!
   
 8. Sophist

  Sophist JF-Expert Member

  #8
  May 27, 2009
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 3,087
  Likes Received: 1,733
  Trophy Points: 280
  Did you yo happen to think about the possible source of stinking wealthiness of Mch. Lwakatare especially the landed properties: is it sadaka, school fees collections, grants from US, bingo, or inheritence?
  ....and Sumaye?
  .....and E. J. Shigongo, is it his udaku papers, bookselling, HIV/AIDS campaigns money?
  .....and Nabii/Mtume Mwingira, is it sadaka, grants from God loving people in the US, muijiza ya Bwana (Bwana ametenda miujiza yake)?
  .....and Thadeo Mutembei (has recently erected three 11 storey buildings in Kariakoo and has two similar ones in Masaki), is it school fees collections, Government subventions (ruzuku)?
  Please mention others you know to have conducting dubious deals but with stinking wealthiness and linked to the money laundering network in Tanzania.
   
  Last edited: May 27, 2009
 9. G

  Gashle Senior Member

  #9
  May 28, 2009
  Joined: Mar 30, 2007
  Messages: 119
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mimi ninavyojua tuna sheria inayo deal na AML issues (kuna wanaodai kuwa sheria hii ilitungwa kwa shinikizo la US ili kupambana na fedha chafu za Al Qaeda). Kwa wale wanaofanya kazi kwenye mabenki, my guess ni kwamba kila benki ina kitengo cha ku deal na AML kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi. Kama wewe mwenzangu na mimi umezoea kuwa na akaunti yenye transactions zinazo range kati ya TZS. 100,000 (huo ni mfano), all of a sudden unaanza kupitisha vitu kama TZS. 100 M, ama kiasi kinachokwenda karibu na huko jamaa (wa commercial bank) wameagizwa kukushtukia na kukuripoti ama BOT ama Jeshi la Polisi (kitengo kinachoshughulikia). Mimi huwa napata shida kama this is the most effective way, huwa nachanganyikiwa na hako ka requirement ka 'detecting'. Sijajua kama kako as effective as kama walivyotaka kawe, kwa mazingira yetu ya Bongo Darisalama
   
 10. M

  MAO Senior Member

  #10
  May 28, 2009
  Joined: Dec 23, 2008
  Messages: 189
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Nawasihi muache mara moja kuwahusisha viongozi wa dini na money laundering!!! Najua hii ni njama ya wasio wakristo kuwafanya waonekane wachafu mbele ya jamii, na wanaojiita wakristo wana-support bila kujua.
   
 11. O

  Ome Member

  #11
  May 28, 2009
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 79
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15

  viongozi wa dini pia hawapo safi 100% ndio mana kila leo utasikia padri sijui mchungaji kampa mimba mwanafunzi itakuwa pesa!!! nao ni binadamu wana tamaa kama binadamu mwingine yeyote so they can do that.
   
 12. Sophist

  Sophist JF-Expert Member

  #12
  May 28, 2009
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 3,087
  Likes Received: 1,733
  Trophy Points: 280
  MAO basi tupatie chanzo cha mali lufufu zinazomilikiwa na hao wanaoitwa 'viongozi wa dini'. Vinginevyo kuna haja ya kubaini na kutofautisha baina ya dini, viongozi wa dini na utukufu wa Mungu. Si wote wasemao Bwana, Bwana, ni watu wenye utukufu wa Mungu. Mengine mengi yakifunuliwa utashangaa. Wakatoliki wanajua zaidi juu ya 'siri ya Vatican.' Ninakushauri amini Utukufu wa Mungu badala ya dini au viongozi wake.
   
 13. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #13
  Mar 18, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,151
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  Hivi sasa utasema nini na hao wa madawa ya kulevya?
   
 14. mseseve

  mseseve JF-Expert Member

  #14
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 518
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  jama sisi huku tusiojua ng'eng'e tunapata taabu kweli kweli.. tujulisheni zaidi kwa kiswahili nini maana ya MONEY LAUNDERING
   
Loading...