Je huu NDIO UCHUMI WA TANZANIA KUKUA AU KUENDELEA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je huu NDIO UCHUMI WA TANZANIA KUKUA AU KUENDELEA?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by MPAMBANAJI.COM, Apr 21, 2012.

 1. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  Salam wanaJF wenye tafsiri kamili za Uchumi na mgawanyo wa rasilimali za kimaendeleo

  Je uchumi wa Tanzania unakua au unaedelea?
  Je matumizi yakujirudiarudia katika uendeshaji wa shughuli za kiserikali zinatija kiasi gani ktka kukuza Uchumi au kuendeleza uchumi?
  Je uwekezaji wa Mitaji katika sekta mbalimbali Tanzania zinaonesha tija endelevu?
  Viwanda vilivyopo vinazalisha bidhaa zinzojali afya za zasilimali watu wa Tanzania(TBL,SBS,Sigara,Mawsiliano ya simu) au pia viwanda vya ndani vinahuisha vipi uchumi wa Tanzania
  Viwanda vilivyokufa vitafuufuliwa lini?au no current market analysis ?
  Kwanini baadhi ya wizara ziendelee kuwepo angali hakuna tija zinazoonekana? mfano UCHUKUZI,kAZI NA VIJANA,

  Wachumi wa JF nisaidieni mtanzania mwenzenu tafadhali
   
 2. POLITIBURO

  POLITIBURO Member

  #2
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  More government spending = inflation + socio economic unrest
   
Loading...