Tanzania hali si mbaya sana kwenye LPI Index | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania hali si mbaya sana kwenye LPI Index

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Highlander, Apr 22, 2012.

 1. Highlander

  Highlander JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Uganda imezishinda Kenya na Tanzania kwenye Logistics Performance Index, huku Tanzania ikiponea chupuchupu
  kulingana na Kenya. LPI ni kipimo cha kibiashara za kimataifa kuonesha urahisi wa kusafirisha mizigo kutoka pembe moja ya nchi hadi nyingine. Nchi ikipata tarikimu 1 inafanya vibaya, wakati ikipata tarakimu ya maksi 5 inafanya vizuri. Ni kipimo cha benki ya dunia. Uganda imepata maksi 2.82, Tanzania imepata 2.60, Kenya imepata 2.59, Rwanda imepata 2.04. Burundi sijaiona. Matokeo haya yanaweza kutafsiriwa kuwa Tanzania nimepunguza vikwazo kwa wasafirishaji wa bidhaa zinazoenda masafa marefu.

  source, Benki ya Dunia hapa:
  Logistics Performance Index
   
 2. Sabayi

  Sabayi JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Usanii tu ingie field uone rushwa inavyohitajika
   
 3. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  tafiti nyingine bwana! yaani hapo hawajagundua tu kuwa rushwa ndo imerahisisha kazi ya kusafirisha mizigo ktk nchi hii? nani asiyejua kuwa trafiki wetu ndo vinara wa kupokea rushwa kutoka kwa madereva? sometimes kumbe rushwa inasaidia kupunguza urasimu!
   
 4. Highlander

  Highlander JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  that is a possibility myhem: kwamba rushwa imeboresha index. ironical, tho, isn't it?
  ingawa pia panaweza kuwa pametokea maboresho fulani.
   
 5. Highlander

  Highlander JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Usanii World Bank? sidhani mkuu. La rushwa labda.
   
Loading...