Gesi ya Kutumia mabaki ya Chakula na maji yaja na malipo ya awamu

simgas

Member
Apr 19, 2012
30
2
Wapendwa,

Ile gesi inayotumia mabaki ya chakula na maji sasa inamuwezesha mteja kulipia 550,000 kwa awamu na kisha kufungiwa mtambo. kwa maelezo zaidi angalia jedwali hapo chini

MweziMweziMweziMweziUfungaji wa MtamboMweziMweziJumla
550,000550,000
300,000250,000550,000
200,000200,000150,000550,000
200,000200,000160,000560,000
175,000125,000135,000135,000570,000
130,000110,000110,000110,000110,000570,000

Malipo ya awamu yatagharimu shilingi 10,000 ambayo ni administration fee.
 
huo mtambo unazalisha gas kiasi gani kwa siku? na unapaswa kufeed kiasi gani cha hayo mabaki?
 
Siku za mwanzoni inakaa kwa muda wa saa moja na nusu, kadri unavyoendelea kuweka mabaki ya chakula na taka za vyakula kama maganda ya viazi, ndizi n.k utapata gesi ambayo unaweza kutumia kwa siku nzima. hata hivyo kwa siku za mwanzo mtambo unapokuwa umeanzishwa kama unatumia gesi kwa mfululizo yaani ukatumia kupikia chai, theni maharage baada ya kupika chai, then ukasonga ugali, hapo itakaa kwa saa moja na nusu. lakini kama utatumia kwa nafasi yaani ukapika chai then baadae kama 2 hrs ukapika maharage, hapo unaweza kutumia kwa muda kidogo kwa sababu gesi inazalishwa muda wote.

kiasi cha mabaki au taka za chakula kinachotakiwa kuwekwa ni nusu kilo hadi kilo tatu na nusu, kisipungue wala kuongeza katika kipimo hicho.
 
Hii haina tofauti na Biogas yoyote kwahio matumizi yako ndio yatapelekea ni kiasi uweke (from biogas ya kawaida ambayo I know from experience mabaki ya ngombe kama wawili unaweza kutumia siku nzima kwa matumizi ya kawaida, anyway nadhani hii ndio same product ambayo waliongelea hapa..., ingawa kulikuwa na debate kali kama nilichosema mimi ndio wanachosema wao)

https://www.jamiiforums.com/busines...mara-mmoja-unatumia-milele-2.html#post3641105
 
Huo mtambo unaocuppy space kiasi gani hasa ukichukulia hizi nyumba zetu za kupanga?

Mtambo unakaa nje halafu kuna pipes zinafungwa kutoka kwenye mtambo kuingia ndani ambapo zinaelekezwa jikoni. ujazo wake ni lita 550.
 
Wapendwa,

Ile gesi inayotumia mabaki ya chakula na maji sasa inamuwezesha mteja kulipia 550,000 kwa awamu na kisha kufungiwa mtambo. kwa maelezo zaidi angalia jedwali hapo chini

MweziMweziMweziMweziUfungaji wa MtamboMweziMweziJumla
550,000550,000
300,000250,000550,000
200,000200,000150,000550,000
200,000200,000160,000560,000
175,000125,000135,000135,000570,000
130,000110,000110,000110,000110,000570,000

Malipo ya awamu yatagharimu shilingi 10,000 ambayo ni administration fee.
Weka Contacts zako ili wenye interest wawasiliane nawe.
 
Siku za mwanzoni inakaa kwa muda wa saa moja na nusu, kadri unavyoendelea kuweka mabaki ya chakula na taka za vyakula kama maganda ya viazi, ndizi n.k utapata gesi ambayo unaweza kutumia kwa siku nzima. hata hivyo kwa siku za mwanzo mtambo unapokuwa umeanzishwa kama unatumia gesi kwa mfululizo yaani ukatumia kupikia chai, theni maharage baada ya kupika chai, then ukasonga ugali, hapo itakaa kwa saa moja na nusu. lakini kama utatumia kwa nafasi yaani ukapika chai then baadae kama 2 hrs ukapika maharage, hapo unaweza kutumia kwa muda kidogo kwa sababu gesi inazalishwa muda wote.

kiasi cha mabaki au taka za chakula kinachotakiwa kuwekwa ni nusu kilo hadi kilo tatu na nusu, kisipungue wala kuongeza katika kipimo hicho.

Familia ya watu 4 yaweza zalisha mabaki ya kulisha hiyo plant na kuproduce at least 2 hours of cooking? Again huo mtambo wako unakuja na grinder/blender ya kusaga hayo mabaki ili yaweze kuliwa na hao bacteria; coz we know hao bacteria wanakaa kwenye guts zetu na wanakula chakula kilichosagwa tayari!
 
Hii haina tofauti na Biogas yoyote kwahio matumizi yako ndio yatapelekea ni kiasi uweke (from biogas ya kawaida ambayo I know from experience mabaki ya ngombe kama wawili unaweza kutumia siku nzima kwa matumizi ya kawaida, anyway nadhani hii ndio same product ambayo waliongelea hapa..., ingawa kulikuwa na debate kali kama nilichosema mimi ndio wanachosema wao)

https://www.jamiiforums.com/busines...mara-mmoja-unatumia-milele-2.html#post3641105
its the same product sema kampuni husika inajaribu kuongelea under their username jinsi mtu anavyo weza kulipia mtambo huo.
 
Ukubwa wa plant pia, hudetermine uwezo wa kupokea hicho chakula na hivyo gesi inayozalishwa. Ukioverfeed, unauwa na ukiunderfeed unauwa vile vile; ndio maana nilitaka kujua huo mtambo wao wanaupromote una ukubwa gani! Uzuri wa mabaki ya chakula huitaji mengi kama kinyesi cha ng'ombe (kwani kinyesi ni makapi zaidi, chakula kimeshatumiwa na mnyama) lakini, familia zetu nyingi za kitanzania hatuzalishi waste za kutosha, hivyo ili mtambo wako uendelee unahitaji kuoutsource mabaki from somewhere else na hicho ndicho kinachowatia uvivu wengi. Too bad hawalizungumzii hili wanavyopromote hiyo issue.
 
Familia ya watu 4 yaweza zalisha mabaki ya kulisha hiyo plant na kuproduce at least 2 hours of cooking? Again huo mtambo wako unakuja na grinder/blender ya kusaga hayo mabaki ili yaweze kuliwa na hao bacteria; coz we know hao bacteria wanakaa kwenye guts zetu na wanakula chakula kilichosagwa tayari!
Ukiangalia kwenye ile thread niliyokupa link (ni kwamba hawa bacteria wapo available.., kwenye absence of oxygen any bio-material wataitumia na kutengeneza methane) kwahio hata ukiweka debe lako na kuweka mabaki ya vyakula utatengeneza bio-gas..., Ingawa kule kwenye ile thread jamaa alibisha kwamba hii ni tofauti (ingawa hakunieleza utofauti ni nini)

Anyway sio kwamba nasema hii technology haifai (it great na nashauri watu wanunue) ila ukweli ni kwamba kama ukiweka pipa na hizo pipes utapata same gas (although DIY, Home made huenda isiwe as efficient)
 
Ukubwa wa plant pia, hudetermine uwezo wa kupokea hicho chakula na hivyo gesi inayozalishwa. Ukioverfeed, unauwa na ukiunderfeed unauwa vile vile; ndio maana nilitaka kujua huo mtambo wao wanaupromote una ukubwa gani! Uzuri wa mabaki ya chakula huitaji mengi kama kinyesi cha ng'ombe (kwani kinyesi ni makapi zaidi, chakula kimeshatumiwa na mnyama) lakini, familia zetu nyingi za kitanzania hatuzalishi waste za kutosha, hivyo ili mtambo wako uendelee unahitaji kuoutsource mabaki from somewhere else na hicho ndicho kinachowatia uvivu wengi. Too bad hawalizungumzii hili wanavyopromote hiyo issue.
Ndio maana hata kule nikasema hapa kuna lugha za kibiashara zinatumika.., its sold as if hawa micro organisms wanapatikana sijui wapi ambapo wakipotea hawawezi kupatika tena.., ila ukweli ni kwamba ukiweka mabaki ya chakula au even kinyesi.., kweye absence of oxygen (methane gas will be produced) regardless hio container ni pipa, debe, au septic tank...

Lakini Kudos, kwa jamaa kuleta a ready made bio-digester na stove yao kwa matumizi ya watu.., sio mbaya kila mtu kuwa nayo sababu itaconvert mabaki into energy ambayo eventually unaweza kutumia kama mbolea..

Ila Chonde Chonde Wakuu hizi lugha za kibiashara sometimes zinaweza zika-backfire, na huenda usipate satisfied customer and hence unakosa repeat business through word of mouth
 
Ndio maana hata kule nikasema hapa kuna lugha za kibiashara zinatumika.., its sold as if hawa micro organisms wanapatikana sijui wapi ambapo wakipotea hawawezi kupatika tena.., ila ukweli ni kwamba ukiweka mabaki ya chakula au even kinyesi.., kweye absence of oxygen (methane gas will be produced) regardless hio container ni pipa, debe, au septic tank...

Lakini Kudos, kwa jamaa kuleta a ready made bio-digester na stove yao kwa matumizi ya watu.., sio mbaya kila mtu kuwa nayo sababu itaconvert mabaki into energy ambayo eventually unaweza kutumia kama mbolea..

Ila Chonde Chonde Wakuu hizi lugha za kibiashara sometimes zinaweza zika-backfire, na huenda usipate satisfied customer and hence unakosa repeat business through word of mouth

Ukiangalia kwenye ile thread niliyokupa link (ni kwamba hawa bacteria wapo available.., kwenye absence of oxygen any bio-material wataitumia na kutengeneza methane) kwahio hata ukiweka debe lako na kuweka mabaki ya vyakula utatengeneza bio-gas..., Ingawa kule kwenye ile thread jamaa alibisha kwamba hii ni tofauti (ingawa hakunieleza utofauti ni nini)

Anyway sio kwamba nasema hii technology haifai (it great na nashauri watu wanunue) ila ukweli ni kwamba kama ukiweka pipa na hizo pipes utapata same gas (although DIY, Home made huenda isiwe as efficient)

mimi hu mtambo ninayo natumia .ni mkubwa kama simtank yale ya maji .pia nakubaliana na wengi wenu kwamba unaweza weka kinyesi iwe cha ngombe au chochote na ukapata gesi lakini .swali jee ni wangapi wana ngombe nyumbani mwao wakupata hiki kinyesi nyumbani mwao.mfano sinza kuna nani unamjua sinza ana ngombe wakumpatia kinyesi nyumbani kwake .ndio mana huu mtambo ume kuwa mkombozi kwetu kwani instead ya sisi kuangaika kutafuta kinyesi .tuna tumia mabaki ya chakula amabayo karibia kila nyumba inayo.tene mabaki yenyewe yanayo itajika ni nusu kilo tu.mimi kwangu naendaga kwenye kibanad cha chips jirani na kwangu na chukua maganda ya viazi. nakubali kinyesi kina zalisha lakini sina muda wa kushika kinyesi mimi na skia kinya .so i find this mtambo kuwa na faida.
kingine ni mtu gani au biashara gani mtu ata anzisha asi promote bidha yake .
 
its the same product sema kampuni husika inajaribu kuongelea under their username jinsi mtu anavyo weza kulipia mtambo huo.

Its not the same product bz hii inatumia mabaki ya chakula pekee, kuna mtambo ambao unatumia mbolea ya wanyama, unaletwa sokoni soon ila priority kubwa itakuwa kwa watu wa rural areas.
 
mimi hu mtambo ninayo natumia .ni mkubwa kama simtank yale ya maji .pia nakubaliana na wengi wenu kwamba unaweza weka kinyesi iwe cha ngombe au chochote na ukapata gesi lakini .swali jee ni wangapi wana ngombe nyumbani mwao wakupata hiki kinyesi nyumbani mwao.mfano sinza kuna nani unamjua sinza ana ngombe wakumpatia kinyesi nyumbani kwake .
Ni kweli mkuu ila issue na ukweli ni kwamba hata zile biogas tunazozifahamu hata ukiweka mabaki ya chakula itafanya kazi, hata hii yako ya sasa ukiweka kinyesi hata cha mtu itafanya kazi hawa wadudu sio kwamba wanachagua mimi nataka carrot tu na mabaki ya mimea sitaku samadi..

ndio mana huu mtambo ume kuwa mkombozi kwetu kwani instead ya sisi kuangaika kutafuta kinyesi .tuna tumia mabaki ya chakula amabayo karibia kila nyumba inayo.tene mabaki yenyewe yanayo itajika ni nusu kilo tu.mimi kwangu naendaga kwenye kibanad cha chips jirani na kwangu na chukua maganda ya viazi. nakubali kinyesi kina zalisha lakini sina muda wa kushika kinyesi mimi na skia kinya .so i find this mtambo kuwa na faida.
Mkuu hakuna sehemu ambapo nilisema huu mtambo ni bogus.., (huu mtambo unafaa sana tena sana) ila kufaa kwake hakubadilishi ukweli kwamba kinyesi kinaweza kufanya kazi na badala ya kutumia hio simtank yako ungeweza kuweka pipa likafanya kazi vile vile (issue ni kwamba sidhani kama hii kampuni ina hati miliki ya hawa wadudu na hawapatikani pengine popote). Again huu mtambo una faida na ni vizuri mtu kutumia kile ambacho kipo widely available kwa mfugaji kwake ni cost effective kutumia samadi, kwa mtu ambae mifugo ni kazi kupata basi atumie mabaki ya mimea.

kingine ni mtu gani au biashara gani mtu ata anzisha asi promote bidha yake .
Mkuu promotion sio lazima upindishe lugha (wengine wataona unataka kuwatapeli) unaweza tu ukaweka faida zako na USP (unique selling points zako)
 
Ukiangalia kwenye ile thread niliyokupa link (ni kwamba hawa bacteria wapo available.., kwenye absence of oxygen any bio-material wataitumia na kutengeneza methane) kwahio hata ukiweka debe lako na kuweka mabaki ya vyakula utatengeneza bio-gas..., Ingawa kule kwenye ile thread jamaa alibisha kwamba hii ni tofauti (ingawa hakunieleza utofauti ni nini)

Anyway sio kwamba nasema hii technology haifai (it great na nashauri watu wanunue) ila ukweli ni kwamba kama ukiweka pipa na hizo pipes utapata same gas (although DIY, Home made huenda isiwe as efficient)

As you say lugha za kibiashara.
Kwangu nina kijimtambo, actually nilijenga kama kisima hivi cha juu, then nikaweka poly pipe as a feeder, na juu nikaweka simtank la 2000liters (liligeuzwa juu chini,chini juu as a gas collector; linapanda gas ikijaa) lililoconnectiwa na horse pipe ambayo inapeleka gas kwenye stove. For a starter, niliweka cowdung (ili kupata bacteria) na lots of water. Then nikaendelea kufeed hizo kitchen wastes.

It works very well, na nilikuwa napata mpaka 3 hrs of cooking, but you have to feed the moster with about 20 to 40 lts of maujiuji ya mabaki (you need to blend hayo mauchafu ili upate uji ambao hao bacteria watakula) hapo ndipo palipokuwa na kazi. Kwanza kwa familia yangu yenye watu wasio zidi 3 ambao wote ni wavivu wa kula, mabaki yalipatikana pale tunapotengeneza juice tu. siku zingine zote inabidi binti atafute kwa jirani au nichukue mabaki from the office. Hiyo kitu nilishindwa kuendelea nayo kwa muda; pia natumia gharama ya umeme kusaga mabaki ya chakula ili nisave anyway; with a bigger family au kama unamgahawa you need to have this.

Nitawatembelea ofisini kwao nione, but again a kilo of kitchen waste acha 3 kilos bado ni kubwa, na si kila siku mtakula viazi au ndizi, kuna siku za tambi, wali n.k, unless mpike chakula kingi ili mbakishe makombo!
 
Its not the same product bz hii inatumia mabaki ya chakula pekee, kuna mtambo ambao unatumia mbolea ya wanyama, unaletwa sokoni soon ila priority kubwa itakuwa kwa watu wa rural areas.
Mkuu unaweza kuniambia ni kwanini hii huwezi kutumia mbolea ya wanyama Je mmegundua bacteria tofauti na hao hapo chini:-

Anaerobic digestion is a series of processes in which microorganisms break down biodegradable material in the absence of oxygen. It is used for industrial or domestic purposes to manage waste and/or to release energy

Mkuu kama hao wanaweza ku-break down mabaki ya mimea kwanini washindwe kinyesi ? (Je hawa ni hybrid au ?)
 
Ni kweli mkuu ila issue na ukweli ni kwamba hata zile biogas tunazozifahamu hata ukiweka mabaki ya chakula itafanya kazi, hata hii yako ya sasa ukiweka kinyesi hata cha mtu itafanya kazi hawa wadudu sio kwamba wanachagua mimi nataka carrot tu na mabaki ya mimea sitaku samadi..

Huu mtambo unatumia mabaki ya chakula pekee katika kuzalisha gesi. unapoanzishwa unaanzishwa na mbolea ya ng'ombe lita 80, maji lita 110 na unga wa ngano nusu kilo, vinachanganywa pamoja ndio wanapatikana hao wadudu. baada ya hapo, mtumiaji ndio anaanza kulisha mabaki ya chakula akichanganya na maji.
 
Thanks Mkuu
Kwahio hii technic yako ya mtambo wako ni kama huo hapo juu wa Kaunga ?., Pia mkuu nikikosea nikaweka samadi hawa wadudu watakufa, (au ni kwamba hawafi ila its efficient kutumia mimea kuliko samadi).. na process ya kwanza ni kutengeneza mazingira mazuri zaidi ya hao wadudu kuzaliana na kwa kuweka mimea you get more methane kuliko kwenye samadi ?

My point being are they different micro organisms which eat plants different from the ones eating samadi ?
 
Back
Top Bottom