Vodacome hii ni haki?

imma.one

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
542
37
Kampuni ya vodacome imetengeneza voucha ya tsh 450/=huku ikifahamu fika kuwa voucha hizi zinauzwa kwa shilling 500/=karibu sehemu kubwa ya Tanzania hususani Dar es salaa huko wauzaji wakidai wanauziwa bei ya mia tano.
VODACOME THINK TWICE THIS IZ NOT RIGHT
 
hawa jamaa nadhani wanataka kuipoteza ile vocha ya mia tano ili tununue hiyo ya 450 kwa 500!
 
Kampuni ya vodacome imetengeneza voucha ya tsh 450/=huku ikifahamu fika kuwa voucha hizi zinauzwa kwa shilling 500/=karibu sehemu kubwa ya Tanzania hususani Dar es salaa huko wauzaji wakidai wanauziwa bei ya mia tano.
VODACOME THINK TWICE THIS IZ NOT RIGHT

Hao wauzaji watakuwa wanachakachua. Mimi mbona nmeshawahi nunua vocha hiyo ya 450 kwa tsh 450.
 
Back
Top Bottom