Kuanzisha Radio: WanaShinyanga wote someni hapa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuanzisha Radio: WanaShinyanga wote someni hapa.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Radio Producer, Sep 18, 2012.

 1. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Wadau wa Shinyanga,

  Tumejaribu kufanya mini research juu ya soko la biashara ya radio Shinyanga. Mkoa huu bado unanafasi nzuri sana ya kutengeneza income kwa biashara hii ya radio. Shinyanga Manispaa mpaka sasa kuna radio Moja tu, Wilaya ya Kahama ina Radio 2 tu, Na Maswa kuna radio 1 tu. Nafasi bado ni kubwa na nzuri mno ukianzisha pale Shinyanga mjini ni rahisi sana kuchukua nafasi pale.

  Kwa kuanzia tunaweza kukutengenezea bandle ifuatayo:-

  1. Vifaa vyote (toka TZ) vya studio designed na sisi ni Tshs 4,000,000/=
  2. Transmitter yenye watts 600 Tshs 15,304,000/= hii inakila kitu mpaka shipping cost, taxes, antenna, coax cable yaani ipo tayari kwa ajili ya kufungwa tu.

  So jumla ni Tshs 19,304,000/=

  Usajili TCRA Tshs 2,000,000/=
  Gharama za kutengeneza studio na installations hazitazidi Tshs 2,000,000/=
  Human Reseource tutakuelekeza kwa urahisi.

  Kwa hiyo Jumla yote ni Tshs 23,304,000/= hii ipo kamili kila kitu. ee bwana. Radio itasikika umbali wa kilomita kati 65-100
  Wasiliana nasisi basi: consultancy@radiotz.com
   
 2. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  umeongelea radio 3 tu lkn kumbuka kuna RFA , KISS FM, TBC1, TBC TAIFA, Clouds hao pia ni washindani.. Cha muhimu ungeangalia wasikilizaji wanataka nini! Sio uchache wa radio.. So rudi kafanye utafti wa nini kitakachowavutia wasikilizaji wa shy town na sio idadi ya radio
   
 3. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #3
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Mkuu katika soko la radio kuna kitu kinaitwa Local radio namaanisha radio za maeneo ya jamii husika, na radio zinazoingia kutoka nje. Daima misingi ya wasikilizaji ndiyo hutumiwa hiyo katika Feasibility Study wakati ule tunaeelekea kuanzisha sasa. Wasikilizaji ni programming tu, ikikaa vizuri hakuna atakayekwepa na hakuna cha RFA wala nini ukfanya programming nzuri inayoendana na audience research findings yetu umewin.

  Lakini pia ni vizuri utambue local radios zinavyoharibu soko hata la hizi radio kubwa Mf. Wewe una biashara ya duka Shinyanga mjini unahitaji kulitangaza, hivi na akili timamua kweli utapeleka Tangazo RFA ukaacha kupeleka Radio Faraja? Kwanza gharama za radio hizi kubwa ni hata mara 5 ya hizi local radios je, ni kweli kwamba watu wataenda RFA au radio nyingine? Fanya uchunguzi hizi radio za locally hizi zimewaharibia sana hawa vinara wa radio na bado subiri tuzifanyie maboresho utafika wakati mambo yatabadilika sana. Karibu
   
 4. N

  Ndaga Senior Member

  #4
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 164
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  RP,
  well done,
  Kizazi hiki kinahitaji maono na mwelekeo usio na woga,tunahitaji vijana walio na ujasiri wa kufanya mageuzi ya kimtazamo hata kama ma-giant wa sector husika wameshika masoko, Kizazi ksicho kata tamaa,hawakati tamaa! kila zama zina watu hao! sasa kama RFA, TBC, Cloud nk wapo, haisumbui nao walitoka hukohuko na wamefika hapo, kwa mfano Cloud radio walikuwa Ma DJ hawa wa Posta mpya huko Dsm, leo hii wanaenea hadi huko uliko.
  RP, nakutakia heri kwa maono yako na nimefurahi.Say Yes to Jesus as your Saviour!
  Ndaga.
   
 5. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #5
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Haa kumbe kuanzisha radio ni rahisi hvyo?ngoja nizichange za mabox nkija home na mimi nianzishe yangu''
   
 6. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #6
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Ndaga,

  Asante ndugu yangu. Siku moja nitaandika ushuhuda wangu the way JF ilivyonipa mapigo ya kweli kimawazo mpaka niachange na kufanikiwa kuwa na kampuni check hapa: Radio Consult Company Limited hii kampuni tayari imeshaanza kazi lakini marketing strategic yake ndiyo inatengennezwa nina imani baadae italipuka sana na kuwasaidia watanzania wengi. Tusubiri muda si mrefu. Radio huwa ni audience findings basi.
   
 7. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #7
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Tena ukinunua na vifaa hukohuko ukafunga kwenye hayo mabox yako ukaja nayo bongo usiangae hata $10,000/= ikatosha.
   
 8. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #8
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  -Mnamsaidiaje mtu ambaye hana uzoefu na biashara ya Redio ila ana mtaji na angependa kuwekeza katika biashara hii..?
  -Vipi kuhusu Mtaji wa kufanyia kazi?!
   
 9. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #9
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Asante.
   
 10. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #10
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Ahsante sana mkuu... media ni sekta ambayo nimeilenga miaka michahe ijayo.. napitia website yenu kujielimisha zaidi..
   
 11. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #11
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Karibu sana.
   
 12. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #12
  Sep 18, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,865
  Likes Received: 2,805
  Trophy Points: 280
  Mkuu RP,

  Kwa kweli mambo yako yanavutia sana na unaushawishi wa hali ya juu Mkuu! Hongera kwa hilo. Mwanzoni nilivyokuwa nafuatilia post zako nilikuona kama ulikuwa unajichanganya sana lakini sasa hivi mkuu umejikarabati vya kutosha kwa ufupi sasa hivi uko vizuri!

  Mkuu nimekuwa na wazo la kuanzisha Community Radio siku nyingi sana, nilichokuwa nahofu ilikuwa gharama lakini kwa maelezo yako naona kumbe kuna kiji-uwezekano cha kumudu hili. Tuna NGO yetu ambayo imekuwa ikitafuta uwezekano wa kuanzisa hii kitu na huwa tunapanga kuiweka kwenye moja ya wilaya za Mkoa mpya wa Simiyu. Tukiwafanikiwa hii kitu itatusaidia sana katika kuelimisha jamii katika shughuli zetu. Muda ukifika mkuu nitakutafuta.

  Ila sasa naomba unisaidie, hivi CR inawezaje kujiendesha? Au ndo hayo ya kutegemea wafadhili tu siku zote? Fedha ikikata na wewe ndo kwa heri? Je! Ukitaka radio yako isikike mkoa mzima kama wa Shinyanga unatakiwa kuwa na vitu gani vya ziada?
   
 13. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #13
  Sep 18, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,347
  Trophy Points: 280
  Naomba usome vizuri proposition ya mtoa hoja na utaona kuna vitu vingi sana vina miss.
  Muulize, transmitter inawekwa wapi, na studio equipments zimekaa kaaje ikiwa na pa moja na transmission toka studio hadi transmitter.

  Mitambo inatoka wapi? Na ina back up nchini?

  Je shelters za mitambo inakuwaje, na studiobrefurbishment nayo inakuwaje.
  Mimi nina mradi huo na gharama alizoleta mtoa mada usije ukaku- dupe.
   
 14. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #14
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mkuu asante kwa kutujuza hatahivyo ningependa kupata ufafanuzi wa gharama kwa vile kuna jamaa aliniambia kuanzisha fm radio inahitajika si chini ya Tshs. 100 milioni. Pia gharama ulizojitaja ni kwa Shinyanga tu ama waweza kuanzisha pahala pengine nchini kwa kilomita 65 - 100?
   
 15. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #15
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Mkuu, unayosema ni kweli kwa mazingira yako. Nadhani inshu ni planning na designing, je unafahamu kuwa unaweza kupata set ya vifaa vya radio ya kijamii kwa dola 2,500/= tu za America? Ni mipango tu kama wewe ulidesgniwa na watu any way ndo waliamua hivyo. Unajua direct link kutoka studio to transmitter? poa uliyosema ni kweli ukiamua kufanya hivyo, ukitaka njia zingine zipo.
   
 16. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #16
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Mkuu
  gharama ya 100milion hapana.

  Gharama mkuu kama nilizozitaja hapo, zinaweza kuongezeka au kupungua kutegemeana na maeneo uliyopo na aina ya radio unayotaka kufungua. hiyo gharama unaweza kuitumia popote pale na mambo yakakaa sawa, cha msingi ni sisi kufahamu unafungulia wapi baada ya hapo tunaweza kukupa gharama tukishafanya mini research. Ila asikudanganye mtu hata ikiwaje gharama haizidi 30milion kwa hiyo niliyopendekeza hapo juu.
   
 17. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #17
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,738
  Likes Received: 357
  Trophy Points: 180
  Je vipindi kutoka Radio za nje mfano BBC vinatakiwa kuwa asilimia ngapi ya vipindi vyote?
   
 18. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #18
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Hii inategemeana na programming yako. this based on competence ukifuata asilimia za kwenye daftari unabaki bila wasikilizaji.
   
Loading...