Kwanini Gharama za Simu na Internet za Kenya ziko chini kuliko Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini Gharama za Simu na Internet za Kenya ziko chini kuliko Tanzania?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Kamundu, Sep 14, 2012.

 1. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #1
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Mimi bado nashangazwa na sababu hasa ya kwanini Gharama za Internet za Tanzania ziko juu sana ukilinganisha na Kenya. Cable ambayo tunatumia ni hiyohiyo Kenya inatumia, wote tumepakana na bahari. Sasa ni sababu gani ya kufanya ghrarama hasa za Internet ziwe juu hivyo. Wafanyabiashara wanaotumia Internet wanasema ndiyo gharama kubwa kuliko hata kodi ya office. Kuna manufaa mengi sana ya kuwa na Internet ya bei ya chini kama Kenya kwani pamoja na biashara inasaidia sana kwenye elimu. Kuna biashara tunashidwa kuja kufanya Tanzania kwasababu gharara na speed ya internet ziko juu sana. Badala ya kwenye kufungua kampuni nyumbani tusaidie inatulazimu tuwape kazi za Internet India!!. Tanzania inabidi tubadilike maana matatizo mengi ni ya kujitakia ndugu zangu.
   
 2. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Kwa sabau Kenya kuna mafisadi lakini kuna utaifa wakati TZ kuna mafisadi lakini hakuna utaifa
   
 3. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Tatizo la Tanzania ni kuwa makampuni mengi ya simu licha ya kuwa ya kitapeli mengi ni mali ya mafisadi walioko madarakani.Hawa wahindi na wengine wanaojiita Celtel, Airtel na upuuzi mwingine ni mali ya mafisadi wetu. Hao wanaojiita CEOs ni makuwadi na mawakala wa mafisadi wetu. Inashangaza watanzania wanazidi kunyonywa katika kila huduma. Huduma zenyewe mbovu na za kizamani. Tumeambiwa tunakwenda digital. Hatutafika popote bila kuwatolea uvivu. Hii ndiyo siri ya vihiyo kama Mwamvita Makamba kuula Celtel. Atashindwaje kuula wakati ni mali ya baba yake. Ajabu ni kwamba kaka yake Januari amepewa uwaziri mdogo wa mawasiliano ili kuwezesha kampuni ya baba yake. Nashangaa kwanini Kikwete hakuona huu mgongano wa maslahi. Je ni kwa vile naye yumo?
   
 4. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2012
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu hiyo kwenye red alishahama VodaCom kumbe!
   
 5. chash

  chash JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  If you compare yourself with others, you may become vain or bitter,
  for always there will be greater and lesser persons than yourself.

   
 6. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #6
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Internet,bia na sigara ni bidhaa za anasa, kodi yake iko juu wakati huo huo utaambiwa serikali inategemea kuboresha mawasiliano nafuu hadi vijijini. Hizi ni ndoto za alinacha.
   
 7. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #7
  Sep 14, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,725
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Kwa wasiojua gharama za Internet nchini Kenya, huu ni msaada.
  The lowest cost from Safaricom is the
  daily mobile internet at Ksh 1 per MB (5mb f@ Ksh 5, 10Mb @8, 25Mb @Ksh 20)
  Other bundle plans in Kenya Shillings are:
  40MB=50,
  80MB 100
  200MB= 250,
  500MB = 500, 1.5GB= 1000,
  3GB=1,999.
  8GB 3,999
  25GB 11499
  Unlimited
  Safaricom out of the bundle rate is Ksh 4
  per Megabyte Note: Safaricom bundles get lost when
  they expire (about 30 days)
  NB:Safaricom leads followed by the rest in provision of Modems and connection
  devices. In the same way, safaricom is
  seen as the more expensive of the
  mobile internet service providers.
   
 8. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #8
  Sep 14, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Tuliambiwamkongo ukija gharama zitashuka naona imekuwa sound
  Ata viwanda vya kutumia gas kuzalisha bidhaa kama tbl twiga cement nk tuliambiwa wakianza tumia gas bei zitapingua mpaka
  Eo zazidi ongezeka
  Mtetezi wa watz alishakufa walibaki ni vibaraka wa mabari tuu
   
 9. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #9
  Sep 15, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 4,098
  Likes Received: 1,484
  Trophy Points: 280
  tanzania siasa imezidi niliwahi kumuuliza mtu wa ttcl mbona gharama hazishuki wakati tunajua gharamza za fible optic ziko chini akaniambia makampuni mengi bado yana mikataba na makampuni ya satelite kwa ni mikataba huwa ya muda mrefu lakini kuanzia mwaka 2012 gharama zitashuka ingawa bado watakuwa wanatumia kama backup lakini cha ajabu hadi sasa hazijashuka haya makampuni mengi yako shared na wanasiasa wanafikiria namna ya kumnyonya mwananchi badala ya kumsaidia kwani mawasiliano si anasa ndio maana tcra pamoja na kumwajili mtaalamu ili bei za simu za mkononi zipungue ilishindikana
   
 10. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #10
  Sep 16, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Thanks for updating me.
   
 11. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #11
  Sep 17, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,567
  Likes Received: 1,930
  Trophy Points: 280
  "Waheshimiwa" wetu wako bize ku-compare posho zao dhidi ya zile ya wakenya. Wataona saa ngapi mambo ya msingi kama haya?
   
 12. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #12
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ivi huyu January halioni hili au nae anaamua kula bati!
  Pia kigoda anapaswa alione hili kwenye viwanda vinavyotumia gasi otherwise tunaibiwa
   
 13. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #13
  Sep 17, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  nahisi ikishka sana waona kila mtu atakuwa jf na kuwa sumbua wakati mambo ya kawaida tu kutumia net ya bei rahisi kazi ipo kibongobongo...

  halafu nasikia hawa zuku tv huko kenya wanatoa tv na internet services sasa hapa bongo itakuwaje wakiweka hiyo hudumu si tutalipa zaidi ya dstv..
   
 14. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #14
  Sep 20, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Hapo kw red, which company now is seen as the cheapest ISP? (In Kenya)
   
 15. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #15
  Sep 20, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,725
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  YU Mobile is the cheapest ISP in Kenya, and third in terms of subscribers. Its speed is relatively low compared to Safaricon and Zain.
  DATA BUNDLES BUNDLE COST (shs) SUBSCRIPTION
  MODE Night Data Bundle 1sh/mb
  15 days Unlimited Ksh 799
  30 days unlimited Ksh 999
  1GB Bundle Ksh 399
  2GB Bundle Ksh 599
  INTERNET ON MOBILE BUNDLES BUNDLE COST (shs) SUBSCRIPTION MODE
  15 days Unlimited (IOM) Ksh 99
  30 days Unlimited (IOM) Ksh 199
  3 days Unlimited (IOM) 29
   
Loading...