Modem za vodacom utata mtupu

KIBONGOMKUTI

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
1,425
605
Nimekuwa nikitumia Modem za VODACOM kwa muda mrefu sana lakini tangu mwezi Juni 2012 nahisi kuna uzembe au wizi wa makusudi unafanyika katika mtandao wa VODACOM. Hapa ofisini kwangu Staff wengi huwa tunajiunga na BOMBA7 lakini kwa miezi hii mitatu naona tumekuwa tunaibiwa pesa zetu;
- Kila ukiweka salio HUPATI connection.
-Kila muda wa salio ukiisha unapata taarifa kuwa salio lako limeisha.
-Wakati wa kuweka salio VODACOM mko faster kuchukua pesa zetu.

Najiuliza salio linaishaje bila kutumika au ndo wizi mtupu mnatubania connection mkijua kuwa siku zikiisha mnatoa taarifa. Inaniuma sana kama hayo MAHEKALU yenu mnayajenga kwa kutuibia wabongo wenzenu, ebooo acheni hizo bana. Arrrrrghhh
 
Back
Top Bottom