MBUNGE ESTHER MALLEKO AGAWA INCUBATOR KATA ZOTE ZA WILAYA YA ROMBO
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Edwin Malleko ametembelea Wilaya ya Rombo na kuzungumza na wanawake wa...
Hello Wana JF;
Leo nakuja na Mada hii inayohusu KARAMA au wengine huita KIPAWA/KIPAJI.
*
Ifahamike kuwa kila binadamu aliyepo hapa duniani, basi kaletwa kwenye uwanja wa mapambano, mapambano...
Nikiwa nipo zangu Mgahawani hapa kariakoo napata sharubati ya Maembe. Ng'ambo ya pili likapaki gari la mizigo na wabebaji (Makuli) wakafika na kuanza kazi ya kupakua ule mzigo.
Kile kitendo...
MBAO..
Habari zenu wakuu!! Mi ni dalali na mchanaji wa mbao mkoani NJOMBE,, naomba kutangaza anayehitaji kujumua mizigo wa mbao ama kuanza biashara ya MBAO zilizokaushwa,, aina ya miti ni...
Imani ya watu kwa Asasi za Kiraia imekuwa ikishuka siku hadi siku, si kwa Tanzania pekee, hata nje ya Tanzania. Tafiti iliyofanywa na Gallup and Wellcome mwaka 2022 inaonyesha kwamba asilimia 32...
Ndugu wataalamu, kuna mdogo wangu yuko chuo anaanzisha biashara ya kuuza vitu mtandaoni. Kila kitu tayari hadi usajili wa Brela (kasajili jina la biashara). Ishu ipo kwenye masuala ya TRA, TIN...
Kwa nini mfanyabiashara yeyote anayeanza kujitafuta anatakiwa kusajili jina la biashara?
Kuna biashara nyingi mitaani zinafanya vizuri – zina wateja, zina jina zuri lakini hazijasajiliwa.
Watu...
Usajili wa Kampuni unaweza kufanyia ndani ya muda mfupi sana, lakini Kuna sababu kadhaa zinazoweza kupelekea usajili kuchelewa, kwenye article hii nimekuandikia baadhi ya mambo hayo.
1. Utoaji wa...
1. Waliofanikiwa Kiuchumi ni watu waliofanikiwa katika UTUNZAJI WA MUDA! Hawapendi kupoteza muda
2. Waliofanikiwa Kiuchumi ni MABAHILI na wanachukiwa na watu wao wa karibu, kwa sababu ya...
Wakuu, baada ya kufanya utafiti na kukusanya maoni toka kwa watumiaji wengine kabla ya kununua, nimepata pikipiki tatu ambazo zinashindana kwa vigezo ninavyovihitaji mimi. Vigezo hivyo ni:
1...
KARIBU UJIPATIE JENGO AMBALO UTAWEZA KULITUMIA KWA MATUMIZI MBALIMBALI
LIPO BUSWELU-MWANZA
LINA JUMLA YA VYUMBA 19 VYA KULALA PAMOJA NAMAHITAJI MENGINE YA NDANI
UKUBWA WA KIWANJA NI 4,900SQM...
Nimeiuliza akili mnemba (WhatsApp chatGPT), kama serikali inaweza kuzalisha ama Kutengeneza fedha hewa..?
Na haya ndio majibu iliyonipa..
Baada yakusoma majibu haya nitahitaji nawewe unijibu swali...
Katika safari ya kujitafuta kupitia biashara, kuna hatua ambazo huweza kukuinua haraka au kukugharimu muda, jina, na hata fedha zako. Moja ya hatua za msingi kabisa ambazo kila mjasiriamali...
1. DALL-E:
A paid program from OpenAI. It can create realistic images from text.
2. RunwayML:
A paid platform that provides advanced AI-powered design tools.
It enables image editing, video...
Habar za humu ndani,natumai ni wazima wa afya.
Mimi ni kijana wa miaka 22 nimebahatika kufika chuo,saiz nipo mwaka wa pili.
Nilikua ninawazo la kuwa mbunifu wa jezi za mpira wa miguu katika...
Wakuu, sijaidharau, ila nimeshangazwa na bei yake. Nimeona mtandaoni pikipiki zinazouzwa Dar Es Salaam kwa bei ndogo sana. Zipo za kuanzia laki tano mpaka sh 1.8m. Zote ni used.
Sikuwahi kumiliki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.