Wadau nimeamua kuweka habari hii kuwapa taadhari vijana wapya wanaotaka kujiingiza kwenye kilimo. Kuna usemi unaosema kwamba kupitia failure ndio kujifunza, huo usemi uko sahihi, lakini kupitia...
Tunafanya usafi wa majumbani, maofisini, pia tunasugua marumaru aina zote, tunasafisha bati nk. Tunapatikana Soweto, Mbeya.
Wasiliana nasi +255761972755, +255612246050.
Nyote mnakaribishwa!!
Baada ya mama kutuongezea chajuu kidogo kwenye salary nimeamua kujilipua benki nimevuta mkopo wa mulioni ishirini, milioni kumi nimefanyia finishing ya nyumba yangu ya kuishi na kumi zilizobaki...
Ni wazi kuwa miaka inavyozidi kwenda kuna baadhi ya kazi zitaendelea kufa
leo nitaweka wazi kwanini graphic designers wanaenda kukosa ujira waliozoea na kama hawatabadilika basi utakuwa mwisho...
Ni biashara gani au mradi gani hapa Tanzania unaongoza kwa kufelisha watu. Yaani unakuta biashara ndani ya mwaka inafungwa sana.
Ni mradi gani ambao watu wengi wakiufanya huangukia pua? Pia ni...
Ni fursa kubwa imejitokeza kutokana na uhaba wa maji. Ningeshauri muanze biashara ya kutembeza maji mtaani ndoo/dumu 5,000 TZS huku Bonyokwa. Kwa siku ukiuza 100x5,000=500,000 X siku 30 =...
Kuna miti ya huzuni, ya majuto, ya kushindwa, na ya hofu iliyoota kwa miaka mingi ndani ya nafsi yako. Lakini leo, ujumbe wangu kwako ni huu, kata mti, panda mti.
Kata mti wa kukata tamaa, panda...
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule (katikati) akikata utepe kuashiria kufungua rasmi duka la Vodacom lililopo eneo la kituo cha mwendokasi (SGR) cha Samia Jijini Dodoma leo. Kulia ni...
Habarini wana jamvi, kama mada inavyojieleza apo, naitaji nyumba ya kununua iliyokamilika.
Iwe ni vyumba 2 au v3, kimoja wapo kiwe master au vyote, kuwe na sebule, jiko etc.
Location iwe Dar...
Kwa sasa, bei ya hisa za CRDB ipo kwenye TZS 790 kwa kila hisa. Kwa mujibu wa uchambuzi wa soko tulioufanya, kuna uwezekano mkubwa bei hii ikasimama hapo ilipo au kushuka kidogo katika kipindi...
Katika ufalme mdogo wa kidijitali, watu waligombana mara kwa mara kuhusu nani anamiliki nini. Kulikuwa na vitabu vingi vyenye hadithi tofauti, jambo lililosababisha machafuko na udanganyifu. Siku...
Hello bosses and roses..
Kuna kitu nimekua nafikiria kwa muda mrefu, sina uhakika sana kuhusu uwepo wake kwa sasa au inawezekana kipo lakini kinafanyika kwa njia zisizo rasmi.
Hebu fikiria...
Habari wakuu.
Naombeni njia ya kweli ambayo siyo scam ya kuingiza $2 online kwa siku.
Isiwe blogging na apps, forex, kubet, cryptocurrency na referral invite networking. sizitaki hizi njia...
Mfanyabiashara mashuhuri wa Kitanzania, Edhah Abdallah, kupitia kampuni yake Amsons Industries (K) Ltd, amefanikisha ununuzi wa asilimia 96.4 ya hisa milioni 362.96 za Bamburi Cement, kwa jumla ya...
Mkoa wa Njombe: Mkoa wa Njombe una Halamashauri 6 ambazo ni Njombe Mjini, Vijijini, Ludewa, Makete, Wangingombe na Makambako.
Wenyeji wa Mkoa wa Njombe 70% ni wabena, ambao wanapatikana Wilaya za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.