Jibu ni Moja tu! wamesajili majina ya biashara zao
Ndio, kuna ulazima mkubwa wa kusajili jina la biashara na faida zake ni nyingi kuliko watu wanavyofikiria.
How👇👇
Kusajili jina unapata...
▪️Mradi wa ujenzi wa mgodi kugharimu Trillioni 1.4
▪️Mgodi kuzalisha Ajira na mapato kwa serikali
Kampuni ya Perseus ya Nchini Australia yatoa tangazo rasmi la kuanza ujenzi wa mgodi wa dhahabu...
Neema kwa wawekezaji wale waliokuwa wanasita kuwekeza kwenye bond za B.o.t kutokana na kuwa na Muda mrefu wa kuiva kwa Bond sasa ni miaka 10 tuu hati fungani yako itakiwa imeiva.
Kuhusu gawio...
Wakuu naomba kufahamu kuhusu hii biashara nimekutana na tovuti ya kampuni ya kichina wanasafirisha haya mafuta hivyo nataka kufahamu wanaposource haya mafuta. je, inawezekana wanakusanya kwa...
Wakuu nawasalimu
Wakuu nimeona fursa katika biashara ya maziwa natamani sana kufanya biashara hii
Biashara hii haswa natamani kuwauzia viwanda vinavyo sindika bidhaa hii Kama vile Asas , tanga...
Ningependa kushare nanyi sababu mbalimbali zinazowafanya wafugaji wengi wa samaki kutofanikiwa katika hii biashara yenye Tija na Rahisi kufanya.
Huu ni mwaka wangu wa Tano toka nimeanza kufuga...
Hello... Hope finds you well. Am agent in clearing and forwarding at the Port of dar es salaam Tanzania. Am doing import and export. My prices are negotiable, small car $210 and big one $250...
Wakuu kuna biashara ukifanya ukipata changamoto yoyote kidogo tu itakuitaji kukopa ili kuongeza mtaji, naitaj biashara ata nikifanya matumizi makubwa, ila msingi haupotei nasoma comment.
Plot for Sale at Kijitonyama located in a very quite and peacefully neighborhood,
■One incomplete building
■Area size 1500sqmt
■Price 850m tsh
Contact us and Schedule a visit!!
🇹🇿Call/WhatsApp...
Wakuu naomba mawazo yenu.
Nina mpango wa kuanzisha stationery ya mtaji mdogo around mil 5 yani umo kila kitu mpaka fremu.
Naomba ushauri zaidi ya kuprint na kutoa copy pamoja na vifaa kama...
Unapojisikia kuchoka kwa sababu wateja hawaji kama ulivyotarajia, sio kwamba biashara yako mbaya hapana. Mara nyingi ni kwa sababu hujawafikia wateja sahihi. Na njia ya haraka kabisa ya kuifikisha...
#sale
APPERTMENT ZINAUZWA “””
ZIPO ZA VYUMBA VITATU “”
ZIPO ZA VYUMBA VIWILI
ZOTE ZINA WAPANGAJI
VYUMBA VITATU NI LAK 700K
VYUMBA VIWIL UWA ZINAPANGISHWA KWA LAKI 600K
UKUBWA WA KIWANJA
NI SQMT...
Ishi bila wasiwasi kwa kufunga Cctv camera nyumbani au ofisini kwako.
Tunao ujuzi na uzoefu wa kutosha na tunafunga camera zenye ubora wa hali ya juu. Utaona picha angavu zenye rangi usiku na...
Kwa Wale wapambanaji Wenzangu wa Mitandaoni nikiongelea Upwork nafkiri sio Kitu Kigeni. Kwa Wale Ambao Hawafahamu kuhusu Fursa za Upwork fuatlia Uzi Mbali mbali upate Mwanga.
Moja Kwa Moja Kuna...
Wakuu.
Nipo DSM nimeuza Nyumba ya urithi na kupata mgao wa mil 15 .
Naomba ushauri nifanye Biashara gani yenye low risk .
Niliwaza hizi Biashara
Money transactions
Duka la vipodozi ambalo...
Habari wanaJF,
Salam nyingi kutoka Morogoro Tanzania. Nimemaliza siku salama, na natumaini mambo yenu yanaenda
Nina series of softwares nlizotengeneza kwa ajili ya kurahisisha kazi kwq wateja...
Nimeenda kutoa hela kwenya ATM, baada ya kutoa nikaangalia salio ambapo ilionesha kuna Actual balance na available balance, amount ya actual ni kubwa kuliko available balance, naomba kujua tofauti...
Hebu fikiria
Badala ya kulazimisha watu kwenye inbox zao, unawaongoza taratibu kupitia maudhui yako.
Wanajifunza, Wanakupenda, Wanakuamini, Hadi wanakutafuta wenyewe kusema:
"Nitalipia wapi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.