Mjadala wa raia wa kigeni hususani Wachina kufurika katika maeneo ya kibiashara hasa jijini Dar es Salaam, umechukua sura mpya, baada ya Serikali kuanza kuchukua hatua za kuwafuatilia kama...
Mifumo ya Zamani ya Mashimo
Kataa mifumo ya zamani ya mashimo kwa sababu itakugharimu mara mbili; mara ya kwanza katika ujenzi na tena katika matumizi (uondoaji taka). Pia, inachukua nafasi kubwa...
👉🏾👉🏾BEACH PLOT ⛱️ FOR SALE
👉🏾A Bigger and Wonderful Beach Plot for sale at Kizimkazi Beach Zanzibar.*
👉🏾Nice sea view and Beach.
👉🏾The Home of the Dolphins in Zanzibar. Sun 🌞🌞 Set Beach...
Leo nimeamua kuanzisha thread itakayodumu nyakati zote na majira yote . Pia uzi huu unamgusa Kila mmoja wetu.
Tunalo tatizo la umasikini katika jamii yetu. Unazaliwa masikini, unakua kimasikini...
Watu wengi wanaposajili Kampuni hua Wana stack kutafuta leseni sababu wanakua hawajui ni leseni gani hasa wanatakiwa kua nayo.
Kwenye Thread hii nimekuandikia list ya Industries ambazo zinatakiwa...
Watu wengi hudhani kwamba ukishapewa Certificate of Incorporation basi Kampuni yako imekamilika.
Vipi kama nikikwambia pamoja na kua na hio certificate of Incorporation Bado unakua huruhusiwi...
JamiiForums,
Tunasema Tanzania uchumi umekua na unaongezeka Kwa Kasi, Tunatumia vigezo gani kuproval icho kitu ingawajee huku watu wake walia Maisha magumu.?
Kila kukicha
Pia soma Vigezo...
Habari,
Kwa wazoefu wa Wanao safirisha Nyama Nje ya Nchi,
Nimepata soko tayari na nataka kusafirisha Nyama ya mbuzi nje,
Kuna mifuko ya package, nime attached ktk post naomba kujua naipata wapi...
Unakutana na mteja, mnamaliza maongezi vizuri kabisa, lakini mwisho wa siku anakwambia:
✍️Nitarudi baadaye
✍️Naitaji kufikiria kwanza
✍️Ngoja niongee na mwenza wangu
Yaani, anapotea hewani bila...
Nahitaji Unga wa Uwanga
(arrow roots powder)
Habari zenu, naomba mtu anayejua sehem naweza kupata Unga wa Uwanga(arrow root powder), nahitaji mwingi hata kama tone 5 unazo au unajua zilizo...
Habari ya leo wanajamii forum ?natumaini tunaendelea kupambana na kuendesha gurudumu liende mbele.
Waswahili wanasema ili usianguke na baiskeli hauna budi kukanyaga pedeli ili isonge mbele na...
Habarin...nafikilia kufungua mgahawa wa kahawa wa kisasa,ila sina elimu yoyote kuhusu upishi, mgahawa uo utaambatanisha juice za matunda tofauti tofaut na chai hvo nikafikilia na kuweka vitafutwa...
Khabari wakuu!
Nipo Kahama mjini natafuta site iliyochangamka
Nataka nifungue duka la viatu.
Yeyote mwenyeji wa Kahama anaefahamu site nzuri naomba anisaidie ili niweze kupata.
Nawasilisha wakuu
Nimeagiza bidhaa fulani toka China kwa kutumia app ya aliexpress wenye trak number inayoanzia na LP 000 kwenye trak mzigo unaonekana umeingia toka tarehe 7/04/2025 nikaamua kuwafuata kwenye ofisi...
Baada ya Bajeti ya serikali kupitishwa na kuanza kufanya kazi mwezi Julai, kuna fedha serikali itajipatia kwa njia ya mikopo. Kuna sehemu itakopa kutoka mashirika ya nje na nchi wahisani lakini...
1. Smartphones na mobile ndogondogo nzuri zenye mvuto mfano nokia Og au vile vidogo kbs.pia kuna protector na cover za simu
2. Flashes na memory card..sio nzito hivyo zinabebeka kiurahisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.