Biashara ya nguo ni moja ya njia maarufu na rahisi ya kuanza kufanya biashara online. Katika makala hii, tutachambua jinsi unavyoweza kuanza kuuza nguo mtandaoni kwa kutumia mbinu rahisi na ambazo...
Habari wanajukwaa! Poleni na hongera kwa harakati za maisha. Kuna jambo ningependa sana kulileta ili tutazame namna ya kupeana ushauri kuhusu biashara.
Hivi karibuni kumekuwa na watu wengi...
Mitaa yetu ina giza nene totoro na vibaka wengi sana, na wakati mwingine hakuna umeme kabisa.
Ni jambo jema sana biashara kariakoo masaa 24, itasaidia kuchechemua uchumi wa watu, familia, jiji na...
Habari wanaJF,
Natumaini mnaendelea vizuri. Leo nimekuja kibiashara zaidi.
Kuna tenda mezani. Zinahitajika:
Pumba za Mahindi (Tani 74)
Mashudu ya Alizeti (Tani 22)
Hii ni tenda endelevu...
Natafuta watu mbalimbali wa kufanya nao bishara wa dagaa nyama .mimi nipo kilwa nazalisha dagaa nyama nimeanza mda kidogo lakini sina wateja wa kutosha natamani nipate mtu kwa baadhi ya sehemu...
Airtel money sina kitu
Mix by yass sina kitu
Vodacom sina kitu
Crdb bank sina kitu
Nmb sina kitu
Ndani Nina buku tatu kama akiba ntatoboa kweli? Kama Kuna mtu amewai kupitia. Hali hii anipe muongozo
Kama wewe ni mmiliki wa biashara ndogo, kuna apps ambazo ni lazima uwe nazo kwenye simu yako.
App hizi zinaweza kukuokolea muda, kukuongeza ufanisi wa kazi pamoja na kukurahisishia maisha ya kila...
Habari wanazengo,
Kutokana na gharama kubwa za undeshaji wa pharmacy inatakiwa niuze kwa wingi ili ni cover costs zake na maisha yangu pia.
Je, investment ya pharmacy ya reja reja eneo lenye...
Unless kiwe hakizalishwi nchini, lakini kama bidhaa inapatikana nchini, na hata kama kiwango ni hafifu kidogo, ila tukaweka uzalendo sisiwatz wote milioni 60 tukawa tunatumia bidhaa za Tz tu, kwa...
Wakuu, habari ya majuku.
Leo nipo na wazo hapa nataka kushea na kusikia kutoka kwenu wakuu.
Kulingana na changamoto nyingi zilizopo kwenye familia (ndoa) za watu leo, ikitokea mtu akaanzisha...
Mimi sio mwenyeji sana katika mji huu ila natamani sana kuanza biashara ya Nguo za watoto Katoro sema sina connection ya frame na bado sijajua fursa zilizopo Katoro
Kwahiyo nawakaribisha...
Jinsi ya Kufanya Biashara Yako Ijiendeshe Yenyewe (Thread)
Biashara nyingi zinashindwa kwa sababu mmiliki anafanya kila kitu mwenyewe.
Huwezi kuwa CEO, marketer, mhasibu, na mfanyakazi kwa...
▪️ Rais Samia apongezwa kwa mageuzi makubwa ya sekta ya madini
▪️Wizara yafikia lengo kabla ya mwaka 2025
▪️ Sekta Yatajwa Chanzo Kikuu kuingiza Fedha za Kigeni
▪️ Waziri Mavunde Awashukuru...
Huduma za PayPal barani Afrika kwa ujumla ni chache katika nchi nyingi, haswa linapokuja suala la kutoa pesa. Hata hivyo, idadi kamili ya nchi za Kiafrika ambako PayPal inazuia utoaji wa pesa...
Habar wakuu
Juzi hapa nimefungua paypal kwamara ya kwanza, nikaunga na VISA card IlA sasa nikitaka kutuma pesa au malipo yoyote kwa kutumia paypal hela inakatwa kwenye VISA card niliyounga.
Je...
Salaams kwa jamii, nataka kupanda michongoma kama fence ya shamba langu.
Nimewahi sikia unaweza kukata vipande vya mti huo na ukavipanda vikaota, sijui kama kuna ukweli?
Lakini pia natafuta mbegu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.