Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Nimekua nikitaka kununua mashine kwa ajili ya kilimo toka China kwenye mtandao wa Alibaba lakini makampuni yote niliyo wasiliana nayo wanapokea malipo kwa T/T pekee. Hawataki kutumia PayPal au...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Naombeni msaada namna ya kutafuta masoko ya kuuza asali hasa nchi za nje wapendwa
1 Reactions
2 Replies
2K Views
National Health Insurance Fund (NHIF) Director General Michael Mhando The government intends to amend the law governing the Community Health Fund (CHF) to make it mandatory for all people to...
0 Reactions
0 Replies
800 Views
Nina jamaa wanataka kuja kujenga chuo kikuu kikubwa kama vile UD or something similar Je upatikanaji wa ardhi ukoje? Je serikali au wilaya zinaweza zikawa na ardhi ambazo zimetengwa kwa jili hii...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
katika maisha yangu napendelea sana kuja kufanya hz biashara ya bar,loagy na kumbi za harusi......kuanzisha biashara kubwa ambayo itakuwa imevibeba hv vitu vyote kwa pamoja.NATAKA NIJUE CHANGAMOTO...
0 Reactions
0 Replies
661 Views
Kumbe kuna mambo mengine Rwanda ipo hata juu ya U.S.A. Kenya na Rwanda wametuacha sehemu nyingi sana. Jaribu kufuatilia hii link ya World Economic Forum Competitiveness Rankings
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naombeni msaada namna ya kutafuta masoko ya kuuza asali hasa nchi za nje wapendwa
0 Reactions
0 Replies
582 Views
Wakuu habari za mida hii.. Naomba kujua kama naweza kuanzisha kampuni ya kuuza vinywaji vya jumla.. yaani kuanzisha kampuni ya kuuza bidhaa za kampuni nyingine lakini kampuni tofauti tofaut kama...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wadau, Ninahitaji kuunganisha wajasiriakilimo Katika mradi unaoitwa SITA Yaani support India Trade and Investment in Africa... Mradi huu utahusisha kuunganisha wadau Katika mnyororo wa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
“One of the keys to a trader’s success was not the results of a trade but rather how a trader reacted to the results of a trade.” – Dan Gamza Why me? Why did this happen to me? Those are some...
0 Reactions
0 Replies
868 Views
  • Poll Poll
It’s the dawn of a brand new year, and also a rare leap year! There has been a feeling in the atmosphere since last year’s elections were held, which was mistakenly diagnosed as pre-election...
1 Reactions
0 Replies
978 Views
Napenda niwasalimu wana JF, Napenda nichukue fursa hii kuwashukuru wale wote waliochangia katika post yangu iliyopita kuhusu kuingia ubia katika biashara, Mungu awabariki. Nakuja kwa mara ya...
0 Reactions
1 Replies
9K Views
Wasalaam. Wakuu nina business idea ambayo nko mbioni kuanza kuifanyia kazi,biashara yenyewe ni ya nafaka ambapo napanga kununua mashine za kufanyia processing mazao ya nafaka especially mpunga...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wadau, Ningependa mwenye ujuzi wa jinsi gani ya kusajili microfinance atufahamishe Shukran
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kichwa cha habari apo juu kinahusika! Nawasilisha kwenu Wakuu
0 Reactions
0 Replies
2K Views
takribani mwaka mmoja toka leo bei ya mafuta kwa pipa moja katika soko la kimataifa lilikuwa zaidi ya $120. leo hii bei ya pipa moja la mafuta ni chini ya $36. mara ya mwisho bei ilikuwa chini...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Bank tajwa hapo juu ni Public Limited Company yaani inamilikiwa na watu wa kawaida pamoja na mashirika kadhaa. Ila ni nani anayewafahamu watu/mashirika yenye kumiliki hisa nyingi kwenye hii bank...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari zenu wandugu,, Naomba kwa anayefahamu kodi inayotoza TRA kuingiza hizi machine anijulishe. Kama kuna mtu yupo kwenye hii bussiness tafadhali tuwasiliane.Asante.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu wana jamvi Naomba kwa mtu mwenye uelewa mzuri sana wa jinsi ya kuandaa PROJECT PLAN anisaidie.nikipata hints inatakiwa iwe na vitu gani na vitu gani na katika kila hivyo vitu...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Back
Top Bottom