katika maisha yangu napendelea sana kuja kufanya hz biashara ya bar,loagy na kumbi za harusi......kuanzisha biashara kubwa ambayo itakuwa imevibeba hv vitu vyote kwa pamoja.NATAKA NIJUE CHANGAMOTO ZAKE KWENYE HII AINA YA BIASHARA???.. NIMESOMEA IT (INFORMATION TECHNOLOGY) ILA IM INTEREST NA HII KITU NANINAZID KUCHUNGUZA NA KUJIFUNZA KWA WATU LEO NI ZAMU YA KWA WANA JAMIIFORUMS....KARIBUN..