Mkuu upo bongo?
Kwa ufahamu mdogo nilionao kuhusu vifaa vyote vya Tiba, Mashine mbalimbali za kuchunguza Magonjwa(Zikiwemo Ultra sonography Machine), vifaa vya Elimu na Vitabu huwa havilipiwi ushuru vinapoingizwa hapa Tanzania.
Sio expert kwenye mambo hayo na wala sina Much details ila nina hiyo hints ndogo hivyo unaweza ukatafuta zaidi kujua.
Asante mkuu, nimeangalia bei za hizi machine hapo Tanzania zinafanana na zile za online.