Biashara ya Kuuza Vifaranga vya Kuku

KIJANA2013

JF-Expert Member
Jan 21, 2013
466
200
Napenda niwasalimu wana JF,

Napenda nichukue fursa hii kuwashukuru wale wote waliochangia katika post yangu iliyopita kuhusu kuingia ubia katika biashara, Mungu awabariki.

Nakuja kwa mara ya pili sasa kupata mawazo ya aina yoyote ile kutokana na hili: Baada ya kupata maoni yenu sasa nimefikia wazo la kuanzisha biashara ya uuzaji vifaranga vya kuku. Eneo kalitoa mbia na mimi ni uwekezaji. Nimeshaagiza incubator yenye kubeba mayai 12,762. Mashine hiyo inafanya kazi zote, incubation and hatching.

Lengo kubwa sio kufuga kuku wa mayai au wa nyama, bali ni kutotolesha mayai ili niuze vifaranga. Lakini mimi mwenyewe nitafuga kuku wachache ili nisitegemee asilimia 100 kununua mayai ya kutotolesha. Pia nitakuwa napokea mayai kutoka kwa wengine watakaopenda kutotoleshewa, watalipa gharama ndogo kutokana na umeme.

Sehemu ya shamba hilo ni Kibaha, sasa basi nimekuja kwenu wadau ili mnipe ushauri mbalimbali ikiwa ni pamoja na changamoto ya biashara hiyo kwa wale waliopo ktk biashara hiyo na hata wale ambao hawamo lakini wanaifahamu vizuri.

Natanguliza shukrani za dhati

Mola awabariki
 
Napenda niwasalimu wana JF,

Napenda nichukue fursa hii kuwashukuru wale wote waliochangia katika post yangu iliyopita kuhusu kuingia ubia katika biashara, Mungu awabariki.

Nakuja kwa mara ya pili sasa kupata mawazo ya aina yoyote ile kutokana na hili: Baada ya kupata maoni yenu sasa nimefikia wazo la kuanzisha biashara ya uuzaji vifaranga vya kuku. Eneo kalitoa mbia na mimi ni uwekezaji. Nimeshaagiza incubator yenye kubeba mayai 12,762. Mashine hiyo inafanya kazi zote, incubation and hatching. Lengo kubwa sio kufuga kuku wa mayai au wa nyama, bali ni kutotolesha mayai ili niuze vifaranga. Lakini mimi mwenyewe nitafuga kuku wachache ili nisitegemee asilimia 100 kununua mayai ya kutotolesha. Pia nitakuwa napokea mayai kutoka kwa wengine watakaopenda kutotoleshewa, watalipa gharama ndogo kutokana na umeme. Sehemu ya shamba hilo ni Kibaha, sasa basi nimekuja kwenu wadau ili mnipe ushauri mbalimbali ikiwa ni pamoja na changamoto ya biashara hiyo kwa wale waliopo ktk biashara hiyo na hata wale ambao hawamo lakini wanaifahamu vizuri.

Natanguliza shukrani za dhati

Mola awabariki
wazo zuri sana,ndio biashara rahisi wasiliana nasi kwa maelezo ya kina poultrycaretz@gmail.com pia pitia blog yetu www.poultrycare.blogspot.com au youtube channel
 
Back
Top Bottom