Wazalishaji ama wasindikaji wa Nafaka na mimea ya mikunde

kilimobiznet

Member
Jun 14, 2015
25
12
Habari wadau,

Ninahitaji kuunganisha wajasiriakilimo Katika mradi unaoitwa SITA Yaani support India Trade and Investment in Africa... Mradi huu utahusisha kuunganisha wadau Katika mnyororo wa thamani wa Pulses na oilseed (mikunde na mimea ya kuzalisha mafuta).

Ukitaka kufaham zaidi kuhusu huu mradi tafadhali tembelea website ya ITC ama ofisi za Eastern Africa Grain Council ((EAGC) pale sinza ama Tanzania Graduate Farmers Association (TGFA) PALE MOROGORO.

KIBUAS kama mdau tutakuwa tayari kutoa ushauri na hata kuunganisha na wataalamu wengine.

Mawasikiano yetu ni kilimobiznet@gmail.com ama 0789856246 ( calls ama sms).
 

Attachments

  • 1453488064006.jpg
    1453488064006.jpg
    38.6 KB · Views: 27
  • 1453488111087.jpg
    1453488111087.jpg
    59.2 KB · Views: 27
Back
Top Bottom