Kwa kuwa CRDB ni PLC kwa nini tusiwajue major shareholders?

bukoba boy

JF-Expert Member
Jan 15, 2015
5,370
3,956
Bank tajwa hapo juu ni Public Limited Company yaani inamilikiwa na watu wa kawaida pamoja na mashirika kadhaa.
Ila ni nani anayewafahamu watu/mashirika yenye kumiliki hisa nyingi kwenye hii bank?

Kwa nini taarifa kama hizi zinakua hazipo wazi Tanzania? Wakati nchi nyingine kila kitu kiko wazi?

------------*------------

Mods: Nimepata taarifa naomba delete thread:
 
Bank tajwa hapo juu ni Public Limited Company yaani inamilikiwa na watu wa kawaida pamoja na mashirika kadhaa.
Ila ni nani anayewafahamu watu/mashirika yenye kumiliki hisa nyingi kwenye hii bank?

Kwa nini taarifa kama hizi zinakua hazipo wazi Tanzania? Wakati nchi nyingine kila kitu kiko wazi?

CRDB imeandikishwa DSE na wamiliki wake wanajulikana kupitia soko hilo wala sio siri. Nashauri uende pale utawajua
 
Kama sijakosea serekali ya Tanzania ina hisa na waholanzi.
 
Bank tajwa hapo juu ni Public Limited Company yaani inamilikiwa na watu wa kawaida pamoja na mashirika kadhaa.
Ila ni nani anayewafahamu watu/mashirika yenye kumiliki hisa nyingi kwenye hii bank?

Kwa nini taarifa kama hizi zinakua hazipo wazi Tanzania? Wakati nchi nyingine kila kitu kiko wazi?
Google mjomba utaziona
 
Mtoa mada ungeuliza ungejibiwa.. ila navojua main share holder wa crdb ni DANIDA wana kama 25% then kuna PPF wana kama 10% halafu kuna 50% ni public na taasisi ndogo ndogo... naomba utafute zaidi kwenye website yao hizo taarifa sio za siri wala
 
@Davion Delmonte
Nshazipata ila zinakataa kuattach,kumbe zile taarifa mara Mengi mara Sumaye ni uzushi tu labda kama wapo kwenye holders wenye < than 1%.
http://crdbbank.com/tz/shareholding-structure.html

To precise DANIDA INVESTMENT FUND 21.5%
PPF 10%
Kadhaa wana 1% na kuendelea ila haifiki 10%
Na majority akina sisi wa below 1% ndio tupo wakutoshaaa.

Ila wanaofaidi dividends ni hao wakubwa tu wengine tunawasindikiza tu..nimeona kuna kipindi earning per share ilikua 15/=
 
Ni kweli mkuu watu wengi wanapenda sana maneno yasiyo ya kweli. hao wakina sumaye watakuwa wanamiliki asilimia chache sana na wala sio hata main shareholders
 
Back
Top Bottom