JOFFREY BARATHEON
Senior Member
- Jun 26, 2014
- 107
- 195
Nina jamaa wanataka kuja kujenga chuo kikuu kikubwa kama vile UD or something similar
Je upatikanaji wa ardhi ukoje? Je serikali au wilaya zinaweza zikawa na ardhi ambazo zimetengwa kwa jili hii?
Je ardhi itabidi kununua au serikali ilishatenga maeneo kwa ajili hiyo (land banks) kwenye kila wilaya/mkoa?
University itachukua wanafunzi si chini ya 10,000
Itakuwa ni private University. Lakini naamini wilaya mbali mbali zitakuwa tayari kuchukua fursa mimi