Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari zenu wanajf?nimepata soko lakupeleka mahindi kenya.Najua utaratibu mzima kuanzia ukusanyaji wa mahindi mpaka kuyafikisha sokoni,ili ikulipe unatakiwa upeleke semitraler moja(tani32)ambapo...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Mwanasaikolojia Anti Sadaka akitoa Mada kwenye Mafunzo ya ujasiriamali kwa wanawake wa Mkoa wa Dodoma yanayoendesha na Taasisi ya Manjano Foundation yanaoendelea kwenye ukumbi wa LAPF House...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nataka kutunza fedha sh milion moja, Je ni taasisi ipi ambayo inaweza nipatia interest ya sh laki moja kwa mwezi kwa kiasi hicho cha fedha (sh mil moja)?
0 Reactions
6 Replies
3K Views
HABARI ZA ASUBUHI WANA JF NIMEJARIBU KUWAZA HAYA MAVAZI TUNAYOVAA SISI TZ KAMA TSHERT,SULUALI, SHATI,VIATU, N.K VIKICHOKA TUNAWEZA KUKUSANYA KUWEZA KUUZA,NJE KAMA TUNAVYOLETEWA SISI.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
jamani vijana wenzangu tuna changamoto nyingi ila tukishirikiana tunaweza km kuna mtu ana biashara ila anatafuta mtu wa kushirikiana nae plz niPM
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Je unahitaji tovuti katika Biashara yako ?, kama Ndio ungependa iweje ?
0 Reactions
0 Replies
605 Views
Usipite bila kusoma mahali hapa kama unahitaji Kubadilika na Kwenda hatua nyingine ya Kufikia katika Kilele chako cha Mafanikio makubwa; iwe Mafanikio ya Kiuchumi au kifedha, Kiafya, Kiakili na...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Nina shamba langu la miti kama 700 ambayo ina umri Wa miaka 6 naweza kuchukuwa kiasi gani cha mkopo kutoka crbd bank naomba kujuzwa utaratibu ukoje ili uweze kukopa
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Wanajamvi wenzangu mimi nimeajiliwa katika taasisi binafisi, mda wangu mwingi nautumia kuwepo kazini ambapo nashindwa kufanya mambo mengne ya ziada ya kujiimalisha kiuchumi. Nikilinganisha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu habarini za Majukumu. Tafadhali naombeni kujuzwa kwa yeyote anayejua wapi inapouzwa naweza kupata: 1). Kaolin Powder 2). Titunium (T.T) - Whitening materials/solution Natanguliza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wanajamvi. Kuna kampuni ipo China nataka kushirikiana nayo kutengeneza vifaa vya wanawake kama diapers pamoja na Watoto pampers. Nataka kufahamu ni mamlaka gani huwa zina idhinisha kati ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Awali ya yote niwasalimu na kuwatakia Pasaka njema, Ndugu zangu jamaa na Marafiki nyote, mlioko Tanzania na nje ya mipaka ya Tanzania. Ni matumaini yangu kuwa nyote mko sawa, na mimi kwa unyonge...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
New screen technologies would allow Apple to develop radical flexible products, such as the rumoured 'iRing'
0 Reactions
0 Replies
963 Views
Kwaanaefahamu anisaidie kujua kama watafungua leo Easter Monday.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Za pasaka wanabodi,ningependa kujua kama kuna mwenye experience ya mabati ya dragon kwa uimara na ubora wake..najua kiwandani wanatoa guarantee ya miaka 5 lakini ningependa zaidi kujua kwa wenye...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
IDENTIFICATION OF WORKS I DO. NAME: ANZURUNI SHEMU. PROFESSIONAL: ELECTRICAL ENGINEERING. INSTRUMENT: 1 PERSONAL COMPUTER(LAPTOP). PHONE NO: +255753970366 or +255 789254607. EMAIL...
0 Reactions
1 Replies
788 Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish As expected, this pair got corrected lower last week, moving downward by 120 pips before closing while consolidating...
0 Reactions
0 Replies
817 Views
Habari wakuu Nikiwa safarini kutokea Songea kuja Jijini Dar ili kupata Mlo wa mchana imebidi tupitie hotel ya Aljazeera, kwa wale wanaotokea Iringa, Njombe na makambako wanajjua. Huduma za...
2 Reactions
89 Replies
16K Views
Mwenye kujua website ya kununua vitu online kama mabaibui(abaya) kutoka Dubai na Oman naomba anijuze..Asanteni
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za majukumu na hongera kila mmoja kwa harakati za kutafuta mkate wa kila siku. Ninawaza juu ya biashara ya usafi wa majumbani na maofisini katika jiji la Dar es Salaam, lakini sina taarifa...
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Back
Top Bottom