Nataka kutunza fedha sh milion moja, Je ni taasisi ipi ambayo inaweza nipatia interest ya sh laki moja kwa mwezi kwa kiasi hicho cha fedha (sh mil moja)?
Hahaha hapo utahitaji banki inayotoa riba ya 120% ambayo kwa hiyo 1,000,000 ina maana ni 1,200,000 sasa kwa sababu riba ni kwa mwaka wanagawanya hiyo 1,200,000 kwa miezi 12 ndo ije hiyo laki moja yako kwa mwezi..... sasa hiyo riba ya 120% sijawahi kusikia kama ipo sehemu yoyote duniani maana watu wengi wangekuwa matajiri..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.