jamshidamri
Member
- Aug 27, 2015
- 79
- 27
jamani vijana wenzangu tuna changamoto nyingi ila tukishirikiana tunaweza km kuna mtu ana biashara ila anatafuta mtu wa kushirikiana nae plz niPM
nipo dar na ni ME...kwani jinsia ni muhimu au...?Ungeeleza jinsia yako na mahali ulipo ingekuwa poa