Msaada wa kuzalisha kidogo ulichonacho kiwe kikubwa

mkubhi

JF-Expert Member
Sep 9, 2015
2,216
3,319
Wanajamvi wenzangu mimi nimeajiliwa katika taasisi binafisi, mda wangu mwingi nautumia kuwepo kazini ambapo nashindwa kufanya mambo mengne ya ziada ya kujiimalisha kiuchumi.

Nikilinganisha mshahara wangu na matumizi yangu.. Huwa naweza kutumia robo moja tu ya mshahara ambapo kiasi kinachobakia kingetumika kusave au kuinvest.

Ila changamoto niliyonayo nashinda kazni kutwa nzima ambapo kufanya shughuri nyingine ni vigumu kwangu.

Wanajamvi hii hela inayobakia baada ya matumizi uwezekano wake ni mkubwa kuitumia katika matumizi yasiyo lasimi.

Naomba mawazo yenu jinsi gani naweza kuizalisha hela hii inayobakia baada ya matumizi au jinsi gani ninaweze kuitunza katika mazingira salama nisiweze kuitumia katika matumizi yasiyo ya lazima/lazma.
 
Nakukaribisha kuwekeza katika biashara ya dangote cement nitakulipa faida kila mwezi
 
Back
Top Bottom