Msaada wa kupata mkopo kwa kutumia dhamana ya shamba

mutagaywa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
891
189
Nina shamba langu la miti kama 700 ambayo ina umri Wa miaka 6 naweza kuchukuwa kiasi gani cha mkopo kutoka crbd bank naomba kujuzwa utaratibu ukoje ili uweze kukopa
 
Nina shamba langu la miti kama 700 ambayo ina umri Wa miaka 6 naweza kuchukuwa kiasi gani cha mkopo kutoka crbd bank naomba kujuzwa utaratibu ukoje ili uweze kukopa

Sawa Una Hilo Shamba Na Hiyo Miti Na Pia Unataka Kuchukua Mkopo Ila Hujatuambia Na Sisi Uwezo Wako Wa AKILI Ili Utushawishi Kuwa Kama Ukichukua Huo Mkopo Hautauharibu.
 
Hapana mkuu akili iko timamu hilo shamba lipo sasa nataka kujua utaratibu ukoje na naweza pata shingap ni eka moja na nusu
 
Mkuu 300,000 ya Kenya au tz acha kubeza mkuu kama uwezi toa ushauli Wa mahana kaa kimya
 
Nina shamba langu la miti kama 700 ambayo ina umri Wa miaka 6 naweza kuchukuwa kiasi gani cha mkopo kutoka crbd bank naomba kujuzwa utaratibu ukoje ili uweze kukopa
Bosi shamba lako liko wapi,lina miti gani, lina document gani ya umiliki,na unahitaji kiasi gani!? Nicheki kwa namba 0762576878
 
Back
Top Bottom