chiefnyumbanitu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 906
- 426
HABARI ZA ASUBUHI WANA JF NIMEJARIBU KUWAZA HAYA MAVAZI TUNAYOVAA SISI TZ KAMA TSHERT,SULUALI, SHATI,VIATU, N.K VIKICHOKA TUNAWEZA KUKUSANYA KUWEZA KUUZA,NJE KAMA TUNAVYOLETEWA SISI.
haha.. nmejiuliza nikaona nikuulizeni na ninyi wenzangu.Nani anunue huo uchafu?Wabongo walivyo wachafu sijui huo mtumba utamuuzia nani.
tunavaa nguo mapaka nguo inagoma kuingia mwilini. kweli hapa biashara hakuna.Tz hii mnavaa nguo mpk unachanikia mwilini? Kwanza nguo zipo wapi utakazo vaa kisha iwe bado na ubora uuze nje? Hz za kichina?
Ambazo kila nchi inazipata. Utauza wap?